Wazee wa CCM Dar hawana tofauti na wabunge wa CCM walioko mjengoni Dodoma,kwa maana ingine wabunge wa CCM ni kama wazee wa CCM wa mkoa wa Dari lisilo Salama,wote wana sifa zinazofanya,kushangilia ujinga,kusahau yaliyosemwa,kujifanya wako dunia ingine(Sintojua),wanajifanya wanampenda sana mkulu na mkulu ni wao peke yao,wote wanampaka mafuta ya mgongo mkulu kwa kumsifia ''suti ''aliyovaa.
Hebu angalia wabunge wa CCM wanavyojadili mambo ya katiba,je wanatofauti gani na hawa wazee ngumbaro wa Dar,ambao uwezo wao wa kufikiri ni kufikiri watapata wapi kahawa na kashata