mgosi9
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,581
- 261
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa siasa za UKAWA, hasa baada ya kuona na kusikia dhamira yao ya kuunganisha nguvu ili kuingoma CCM madarakani.
Lakini nashangazwa na ahadi za uongozo zinazotolewa na wasemaji wa UKAWA, maana tarehe 11 walidai kwamba mgombea URAISI kupita umoja huo atatangazwa mnamo tarehe 14 July 2015, hadi kufikia jana blah blah kibao na hadi kupelekea baadhi ya viongozi waandamizi kutoonekana kwenye mkutano wao.
Sasa leo mnakuja tena mnatuambia kwamba tusubiri siku saba, kama sio ubabaishaji ni nini? Mnapunguza nguvu maana sisi tunasubiri makubwa kutoka kwenu lakini kama nyie hamuelewani semeni moja.
Nawasilisha.
vuta subira mkuu.