Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,215
- 1,240
Watanzania na Dunia nzima ilikuwa ikifuatilia kwa karibu saana mchakato wa kumpata mgombea urais kwa tiketi ya CCM, hali hii imekuwa tofauti kabisa na michakato ya CDM, NCCR,NLD na CUF na hatimaye UKAWA.
Bila shaka Watanzania kwa ujumla wao wameulinganisha michakato ya UKAWA kuwa ni sawa na Vikao vya Kamati za HARUSI tu, kwani watu wenyewe wachaaache, tena hata kamera za Wandishi wa habari kutoka Mataifa makubwa Duniani kama ilivyotokea kwa CCM hawapo kwenye Mchakato wa UKAWA.
Je kuna haja gani kwa mtu mwenye busara na hekima kuamini kuwa kuna vyama vya upinzani vyenye nguvu Tanzania? au kuna vyama vya kutafutia Ruzuku na umaarufu kama wanavyofanya akina Sugu, Lisu, Mbowe, Mnyika, Wenje n.k ?