Kwanini Kenya wanapenda sifa sana?

My Friend, you are slumbering in beds of mediocrity! watu wanafanya mambo ya maendeleo wewe unawalaumu eti wanapenda sifa! wewe no wa ajabu kweli!
 
Athari ya utawala wa awamu ya kwanza haiwezi kufutika kirahisi kumbuka hata utawala wa mwinyi haukuwa huru sana ndo maana alimuona mwinyi kakosea akamtaka Mkapa au Salim na BAHATI NZURI ALIKUFA KTK MIAKA MINNE TU YA MKAPA SO AKUPATA NAFASI YA KUVURUGA UTAWALA WA MKAPA SO TO BE HONEST TUMEANZA KUJENGA TAIFA ENDELEVU PAMOJA NA KUWA NA VIONGOZI WATU KUANZIA UTAWALA WA MKAPA, KITU KIMOJA KIZURI TOKA KWA JK NI KURELEASE PESA KTK UJENZI WA BARABARA KAMA KENYA NI KIOO, BASI TUMPATE RAIS AJAYE MWENYE VISION WA KUPIGA HATUA KWA KUKIMBIA SIO KUTEMBEA
 
Tulikuwa busy kwenye ukombozi wa Afrika Kusini sasa tuulizane tunanufaika kivipi?
 
I hope haunisemi mimi,Nafivumilia sana kuwa mtanzania dada angu hii nchi ina madudu mengi sana
Na kuna watu wanatetea hayo madudu live bila chenga bila aibu yoyote...Hii Nchi inatufundisha kuwa selfish..Jiangalie wewe kwanza na familia yako bhaaas
 

Ni kweli wakati wa Nyerere tulihangaika sana na mambo ya wengine. Mfano, kuna askari wetu waliuawa msumbiji na wengine kupata vilema vya kudumu. Je, ukombozi wa Msumbiji unawanufaisha vipi au kuwasaidiaje familia za watoto, wajane na askari waliolemaa huko Msumbiji?
 
Kudidimia kwa uchumi wetu ni tabia ya kulindana. Na pia uwezo wa baadhi ya viongozi wetu ni wa kutilia mashaka mfano kiongozi anapinga katiba mpya hapo kuna kiongozi kweli?
 
Inauma kuukubali ukweli, lakini Kenya wametuacha katika vitu vingi tu

Kwa kweli..... hivyo vitu ulivyovitaja wako mbele sana..... pamoja na hayo ni uchumi ambao au maendeleo ambayo yanawaweka wengi pembezoni...... watu walio nje ya nairobi hawafurahii au kufaidi matunda hayo..... ndiyo maana kuna watu kule pwani hawajaona umuhimu wa kuwa chini ya jamhuri hiyo...
 
First, the ‘Big 5′ - cities which are broadly politically and economically-stable, and already major FDI destinations. They are:
- Accra, Ghana
- Johannesburg, South Africa
- Lagos, Nigeria
- Luanda, Angola
- Nairobi, Kenya
 


Kuendelea kumlaumu Nyerere sidhani kama panatoa mwanga wa kutupatia suluhisho la matatizo yetu kama nchi. Rwanda imepiga hatua sana licha ya changamoto ya vita, Tanzania ingeweza kuwa mabli sana kama hao viongozi wa baada ya Nyerere wangesimama kwenye nafasi zao.
 
NasDaz,

..nakubaliana na mtazamo wa Bigaraone kwamba tunafanya makosa kumlaumu Nyerere kwa matatizo yetu ya sasa ya kiuchumi.

..tusipokuwa makini hata Congo-Kinshasa watatupita kiuchumi huku tumebaki kumlaumu Nyerere.

..Mozambique ambao walipata uhuru mwaka 1975 na uchumi wao uliharibiwa na civil war sasa hivi wako sawa na sisi, au wametuzidi.

..juzi nimesikia Waziri Kigoda akidai kwamba sasa hivi tuna viwanda 700+.

..sasa kila Raisi baada ya Nyerere angejenga viwanda 400, leo hii tungekuwa na walau viwanda 1200.

..Nyerere alijenga UDSM, Muhimbili, na Sokoine univ-- vyuo vikuu 3. sasa kila Raisi baada yake angejenga vyuo vikuu 3 leo hii Tanzania ingekuwa na vyuo vikuu 12 vya taifa[state universities].

..kwenye suala la miradi ya umeme nalo ni hivyo hivyo. kila Raisi baada ya Nyerere angekuja na mradi mkubwa wa umeme kama ule wa Mtera leo hii kusingekuwa na matatizo ya umeme.

..
 
Last edited by a moderator:
Na kuna watu wanatetea hayo madudu live bila chenga bila aibu yoyote...Hii Nchi inatufundisha kuwa selfish..Jiangalie wewe kwanza na familia yako bhaaas

Aliyeturoga watanzania ameshakufa dada angu
 
mwehu mwandamizi wewe.bado nyerere anatawala?
 

Wakati mwingine wapo watu wasioelewa ama kwa makusudi na kujitia hamnazo, au ni kweli uwezo wa uelewa kwa muhusika ni mdogo! Kati ya yote uliyohoji nilishakupatia majibu:

OVERHEAD CAPITAL: Nilishakuambia Nyerere alifanya great Job kwenye hilo lakini serikali yake ikashindwa kabisa kusimamia yale ambayo aliyaanzisha na matokeo yake viwanda vingi ambavyo alivianzisha aliviacha ama vimekufa au havikuwa economically efficiency! Kama kuna viwanda ambavyo vilikuwa economically efficiency basi ni vichache sana...!!! Ngoja nikuambie kitu kama nawe ni mhitaji wa kuelewa! Kuanzisha investment sio kazi kubwa sana(provided kuna necessary resources); issue ni ku-run investiment husika na kutoa matunda yaliyotarajiwa! Hapo ndipo panapotokea kati ya mtu na mwingine....na ndio maana unakuta majority ya watu wamewahi anzisha biashara but very few become succeful, issue hapa inakuwa poor management ambayo ilikuwapo wakati wa Utawala wa Nyerere! He was very serious katika kusimamia political matters, but not economic matters! Ni kichekesho kukana kwamba hapakuwa na efficiency! Kiwanda kinaweza kuzalisha lakini kisiwe economically, and even commercially profitable.....we uchumi wako umesomea wapi bandugu?!

MABWAWA YA UMEME NA POPULATION: Hapa unachekesha, tena sana!! Pale nilipokutajia vitu kama redio, majiko, TV na vitu kama hivyo wala haikuwa na maana kuonesha kwamba hivyo navyo ni indicators za maendeleo!!! Unachekesha unapodai eti "au nilitaka Nyerere aongeze population!" We Vipi Mr. Excellent Thinker?! Hiyo yote ilikuwa ni kukuonesha even domestic electrical consumption ilikuwa ndogo coz' hata hizo nyumba ambazo zilikuwa zimeunganishwa na umeme zilikuwa chache!!! Yaani kwa uelewa wako hiyo ilikuwa ni sawa na kumtaka Nyerere aongeze population?! Narudia kwa lugha nyepesi; ni kweli kabisa kwamba wakati w Utawala wa Nyerere wa Nyerere hakukua na matatizo ya umeme....lakini hiyo si kwamba kulikuwa na UMEME WA KUTOSHA bali hapakuwa na matumizi ya kutosha umeme kwani hata domestical electrical consumption ilikuwa ndogo sana!!

WHY KENYA IPO PALE:
Kawaida yangu kabla sijarukia maoni ya watu huwa naangalia main thread inasema hivyo labda umekosa uwezo wa kuunganisha dots ndio maana umeona nimetoka nje ya mada! Mtoa mada(Main Thread) amezungumzia suala la Kenya hivi sasa kuweka Fifth Fibre Network na ndio maana nikasema kwamba they have all it takes kwao wao kwa sasa kujikita zaidi kwenye mambo kama hayo coz' Kibaki ameikuta Kenya wakati miundo msingi mingi ipo njema tofauti na Tanzania ambayo awamu ya kwanza iliiacha nchi hii hoe hae.....sikulazimisha kukubali hili lakini hata mwendawazimi anafahamu ukweli huo! So, wakati Kibaki anafikiria suala la kuongeza as many Optical Fibres as possible, Tanzania haina hiyo advantage!

POOR THINKER: Nakubaliana na mtizamo wako kwamba am POOR THINKER, but kama ulizani u can describe yourself as an EXCELLENT THINKER, then am afraid to say you don' belong to that community!
 

Hapa mkuu wangu hakuna suala la kumlaumu Nyerere, bali suala ni kwamba utawala wa Nyerere haukua na usimamizi mzuri wa uchumi. Na ndio maana nikasema, wakati Kibaki anafikiria suala la 5 Optical Fibres, Tanzania haiwezi kufanya hivyo coz' hata miundo msingi haijawa sawa! Wakati Mwinyi anaingia madarakani alilazimika kulegeza masharti na kuifanya nchi isiwe jahanamu; Mkapa alipokuja, ndipo akaanza kuweka ama kuuisha misingi ya uchumi ingawaje nae aliharibu zaidi kwa kuuza kila kiwanda huku akizani viwanda vile vilipigwa laana kutokuwa economically efficiency. Bila kufahamu tatizo la msingi lilikuwa poor management na hivyo kuangalia ni namna gani angeweza kuvifanya viwe efficiency hata kama kwa kufanya management contract; Mkapa yeye akaona solution ni kuviuza. Ukija kwa JK, hata kama hatutaki kukubali, lakini ukweli bado utabaki pale pale kwamba bajeti kubwa inatumika kwa mambo ambayo tayari yalitakiwa kuwa yapo ndani ya hii miaka 50.
 

Hakuna anayemlaumu Nyerere, lakini hata hiyo Rwanda ingekuwa mbali zaidi kuliko ilipo sasa endapo angekuta watangulizi wake hawajaaribu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…