Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Mpaka leo hii bado sijaelewa ni kwanini Wakenya hawana ubunifu kabisa kwenye mambo mengi sana, karibu kila kitu wanachukuwa kutoka kwetu.
Sasa hivi Kenya nako eti kuna Sungusungu! Hii ni typical Tanzanian thing. Wamekopi pia balozi wa nyumba kumi kutoka kwetu. Hapo mwanzo walikuwa na Chama cha Siasa kilichoitwa CCM kama CCM yetu.
Hata ukienda kanisani kwao nyimbo wanazotumia ni za kwetu, yaani nyingi zimetungwa Tanzania, kwenye Mikutano ya Siasa ndiyo kabisa utasikia wanaimba "Tunaimani na Raila - Oyaa oya, Raila kweli, kweli kabisa"...
Hivi majuzi nilikuwa Mitaa ya Kibera nikakuta kampeni ya kuhamasisha watu waondoke Kibera wanatumia kauli mbiu (slogan) ya ,,Kenya bila Kibera inawezekana" wameitoa kutoka kwetu na kauli mbiu ya "Tanzania bila ya UKIMWI inawezekana"!
Sasa ni kwanini Wakenya hawana ubunifu wa kuanzisha vitu vyao?
Kitu pekee ambacho Tanzania tumekopi kutoka Kenya ni neno Harambee tu lakini mengine yote ni ya kwetu..