Bensoy
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 577
- 619
Nafanya utafiti hapa.
Tz walishawahi kuamua kuchoma vifaranga kutoka Kenya. Japo Wakenya walipiga kelele lakin haikusaidia. Pia ishu ya ngo'mbe ilikua the same. Kuna maziwa na juzi juz ishu ya kuzuia shirika lao la ndege. Japo sirikali ya kenya ilipiga kelele lakini bado msimamo wa bongo ulikua ule ule.
Sasa nauliza wwnzetu na ukubwa wa uchumi wao wa kwenye makaratasi mbona hawanaga msimamo?
Hili la mahindi wamebana wameachia wenyewe, walikamata watu wetu wa boda boda wiki moja wameachia, walizuia wa Bongo wasiende kwao wakaachia na mengi mengineyo.
Kwa nini kenya hatuna msimamo kama wenzetu wa Bongo?
Au ndo zile tunasema akili za kishikiwa. Great national lina kila aina ya majigambo na majivuno mnafeli wapi?