Kibona
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 1,023
- 652
Hujaelewa swali.kama kenya...kenya wametupita kiuchumi East Africa hilo lazima tukubali
Hujaelewa swali.kama kenya...kenya wametupita kiuchumi East Africa hilo lazima tukubali
Kwa staili hii ya kutoelewa mada waalimu wana kazi.Kenya wako serious na makini katika mambo yao ya msingi. Wanafanya kazi kwa bidii. Wanatofauti zao na ukabila lakini kwenye mambo ya msingi ya kulijenga taifa lao hawataki mzaha hata kidogo.
Hivi ni kwanini ktk nchi zooote barani Afrika zaidi ya 50, Watz wengi hupenda kujipima na kujilinganisha na Kenya tu?
Na hii ni kuanzia Viongozi mpaka Wananchi yaani kwa mfano kuna nchi nyingi sana Afrika ambazo zinaizidi Nchi yetu kiuchumi kwamba zina Uchumi mkubwa kuliko wetu, sasa ni kwa nini tuwe tunajilinganisha na Kenya tu?
Hata kwenye malengo ya Nchi utasikia Viongozi (wetu) mwaka fulani tutaipita Kenya, hata kama tukijenga Kiwanja cha mpira utasikia ni kikubwa AM nzima (na hapo wanamaanisha nchi mbili tu UG na hasa Kenya), hata kama ni ukumbi wa Disko tu utasikia ni mkubwa hata Kenya hamna, kwanini tusiseme hiki Kiwanja ni kikubwa Afrika Nzima?
Hata kwenye bandari lengo ni kuizidi Bandari ya Mombasa tu, sasa kwanini isiwe kuwa na Bandari kubwa na yenye ufanisi kushinda zote Afrika nzima? yaani tushindane na Beira, Durban, Djibouti n.k ni kwa nini Kenya tu?
Ukija kwenye Reli ni hivyo Mshindani na wakujilinganisha naye ni Kenya tu! Kwanini isiwe Kongo, Zambia, Malawi, Zimbabwe, Ethiopia n.k
Ukija kwenye Utalii ni hivyo hivyo lengo SIYO kupata watalii wengi kuliko nchi zote Afrika, hapana bali ni kuwa na Watalii wengi kuliko Kenya, sasa ni kwanini? Kwa nini Siyo lkuliko Zimbabwe au AK au Misri?
Kuna anaye jua sababu hasa, ni kwa nini Kipimo chetu ni Kenya tu? Na je kama tukifanikiwa kuwazidi Kenya Kiuchumi, tutakuwa tumefanikiwa nini hasa?
Wewe ndie unayejilinganisha. Wengine size yetu south africa

And mods please transfer this to Kenyan news section
| Region Rank | World Rank | Country | 2013 GDP (nominal) millions of International dollars |
| | | Africa | 2,263,744 |
| 1 | 24 |
| 522,470 |
| 2 | 34 | 350,779 | |
| 3 | 41 | 271,427 | |
| 4 | 50 | 211,906 | |
| 5 | 60 | 121,704 | |
| 6 | 61 | 105,101 | |
| 7 | 67 | 70,127 | |
| 8 | 68 | 67,622 | |
| 9 | 79 | 48,145 | |
| 10 | 81 | 47,439 | |
| 11 | 85 | 45,082 | |
| 12 | 83 | 44,223 | |
| 13 | 94 | 34,238 | |
| 13 | 94 | 30,639 | |
| 14 | 98 | 27,957 | |
| 15 | 97 | 28,288 | |
| 16 | 102 | 23,053 | |
| 17 | 103 | 22,416 | |
| 18 | 107 | 19,228 | |
| 19 | 114 | 15,574 | |
| 20 | 115 | 15,329 | |
| 21 | 116 | 15,154 | |
| 22 | 117 | 14,837 | |
| 23 | 120 | 13,781 | |
| 24 | 122 | 13,411 | |
| 25 | 123 | 12,951 | |
| 26 | 125 | 12,318 | |
| 27 | 126 | 12,247 | |
| 28 | 127 | 11,930 | |
| 29 | 130 | 11,210 | |
| 30 | 131 | 11,070 | |
| 31 | 139 | 8,310 | |
| 32 | 141 | 7,431 | |
| 33 | 142 | 7,359 | |
| 34 | 145 | 6,282 | |
| 35 | 150 | 4,360 | |
| 36 | 154 | 3,814 | |
| 37 | 152 | 4,187 | |
| 38 | 155 | 3,620 | |
| 39 | 156 | 3,444 | |
| 40 | 158 | 2,723 | |
| 41 | 159 | 2,276 | |
| 42 | 162 | 1,933 | |
| 43 | 163 | 1,920 | |
| 44 | 166 | 1,538 | |
| 45 | 167 | 1,457 | |
| 46 | 168 | 1,398 | |
| 47 | 172 | 850 | |
| 48 | 173 | 845 | |
| 49 | 179 | 652 | |
Region
RankWorld
RankCountry 2013 GDP (nominal)
millions of International dollars- - Africa 2,263,744 1 24 Nigeria![]()
522,470 2 34 South Africa![]()
350,779 3 41 Egypt![]()
271,427 4 50 Algeria![]()
211,906 5 60 Angola![]()
121,704 6 61 Morocco![]()
105,101 7 67 Sudan![]()
70,127 8 68 Libya![]()
67,622 9 79 Ethiopia![]()
48,145 10 81 Tunisia![]()
47,439 11 85 Kenya![]()
45,082 12 83 Ghana![]()
44,223 13 94 Tanzania![]()
34,238 13 94 Democratic Republic of the Congo![]()
30,639 14 98 Cameroon![]()
27,957 15 97 Ivory Coast![]()
28,288 16 102 Uganda![]()
23,053 17 103 Zambia![]()
22,416 18 107 Gabon![]()
19,228 19 114 Equatorial Guinea![]()
15,574 20 115 Mozambique![]()
15,329 21 116 Senegal![]()
15,154 22 117 Botswana![]()
14,837 23 120 Republic of the Congo![]()
13,781 24 122 Chad![]()
13,411 25 123 Zimbabwe![]()
12,951 26 125 Namibia![]()
12,318 27 126 Burkina Faso![]()
12,247 28 127 Mauritius![]()
11,930 29 130 Madagascar![]()
11,210 30 131 Mali![]()
11,070 31 139 Benin![]()
8,310 32 141 Rwanda![]()
7,431 33 142 Niger![]()
7,359 34 145 Guinea![]()
6,282 35 150 Togo![]()
4,360 36 154 Malawi![]()
3,814 37 152 Mauritania![]()
4,187 38 155 Swaziland![]()
3,620 39 156 Eritrea![]()
3,444 40 158 Burundi![]()
2,723 41 159 Lesotho![]()
2,276 42 162 Liberia![]()
1,933 43 163 Cape Verde![]()
1,920 44 166 Central African Republic![]()
1,538 45 167 Djibouti![]()
1,457 46 168 Seychelles![]()
1,398 47 172 The Gambia![]()
850 48 173 Guinea-Bissau![]()
845 49 179 Comoros![]()
652
Kwani ikikaa Hapa inakusinya nini hasa? Kama huipendi si usiifungue tu, mbona unakuwa mbinafsi namna hiyo?
Yaani kwa kuwa Mada haikupendezi basi unataka ihamishwe au ifutwe, acha hizo, Usijione wewe una umuhimu sana kuliko wengine!
I respectifully disagree, wanaojilinganisha na Kenya ni wale ambao hata Nje ya EA hawajawahi kwenda.hii ni mitazamo ya miaka ya 80. Kwa sasa TZ hatujilinganishi na wakenya, ila ni wakenya wana hitch the ride ili kubakia kuw arelevant kama regional power.
Western Powers walipokuwa on top, we had every right to compare ourselves to them as they were the product of Western Success, At the moment Western powers are a shadow of what they used to be, and so is their offspring.
In a world that is increasingly facing East, in 10-15 years kila mtu atakuwa anajilinganisha na TZ. ni subira tu, kwa wanaotazama maendeleo ya nchi kwa span za miaka 2-3 hawawezi kuona hilo, lakini kwa wanaotazama kwa span za 10-30 years onwards watagundua kuwa pwani ya Africa mashariki, TZ and Mozambique are the places to be.
Sorry Kenya, but it seems bordering Somalia has been your worst Nightmare and to the Chinese eyes Kenya is more of the buffer zone to chaotic Northern Africa.
Kubali yaishe mazee Kenya aina potential ya Tanzania, what you see now is development in slow motion considering Kenya has enough skilled workers, it has exploited almost all of its known resources i dont know why bado mnaona mna sababu ya kutaka kujifananisha na Tanzania.I like your 2 cent analysis. so in 15 years other EA countries will be sleeping as tz becomes a "superpower". kichekesho hichi. I hope ndoto ikiisha you will come down to earth.
Hata mimi namkubali huyu jamaa kwa utendajikazi wake kama tungakuwa na watu wengi wenye vision za huyu jamaa hakika Tz ingepaa!Ni kawaida ya viongozi au watu wanaopenda kuiga na kuishi ndoto za wengine. Hawana dream yaani hao watu hawana uwezo wa kubuni lao. Ni watu wavivu kufikiri na wanaona kila kitu hakiwezekani. Hatuitaji pesa kufanya mambo makubwa tunahitaji mipango mizuri. Nchi hii chini ya utawala wa sasa kuna mtu mmoja tu ambaye nimeona kidogo anacho hicho ninachotaka kusema. Huyu ni Neemia Mchechu peke yake.
Kubali yaishe mazee Kenya aina potential ya Tanzania, what you see now is development in slow motion considering Kenya has enough skilled workers, it has exploited almost all of its known resources i dont know why bado mnaona mna sababu ya kutaka kujifananisha na Tanzania.
We are just waiting for the miracles of the middle east to happen from deserts to mega cities in 50 years viva to oil, gases, land, scattered tourists attractions all over (we even got fossils now soon we will be recalling our Rukwatitan bisepultus and zinjathropus to be displayed at JKN Airport the one in Dar not in Nairobi) bye bye to poverty.
I like your 2 cent analysis. so in 15 years other EA countries will be sleeping as tz becomes a "superpower". kichekesho hichi. I hope ndoto ikiisha you will come down to earth.