lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Kwanini kahawa haiwekwi sukari? yaani unakunywa ikiwa chungu hatari.
Kwanini kahawa haiwekwi sukari? yaani unakunywa ikiwa chungu hatari.
Namimi Naomba Kuongezea Hapo Hivi Kwanini Kikombe Cha Kahawa Hakina Mshikio?(mkono)
Namimi naomba kuongezea hapo hivi kwanini kikombe cha kahawa hawaweki vikombe vikubwa ili mnywaji apige kimoja tu
namimi naomba kuongezea hapo hivi kwanini kikombe cha kahawa hakina mshikio?(mkono)
namimi naomba kuongezea hapo hivi kwanini kikombe cha kahawa hawaweki vikombe vikubwa ili mnywaji apige kimoja tu
eti kwa sababu inapokuchoma mkono upandisha stimu lakini kikiwa na mkono stimu inakata
ahaaaa mkuu hapo umeongezrea
Labda kwa kuwa wauza kahawa hawana mtaji wa kutosha kununua sukari!
Namimi Naomba Kuongezea Hapo Hivi Kwanini Kikombe Cha Kahawa Hakina Mshikio?(mkono)