ni kwasababu bench linaleta tabu huwez kuegama hivyo wale wanywaji hawatokaa sana ili waweze kupisha na wenzao halafu inawekwa kwenye birika kwasababu wauza kahawa wana mkono wa birika!
Kwataarifa Yako Kama Huna Pesa Yakununulia Gazeti Wenenda Kajikalishe Kwenye Kijiwe Cha Kahawa Pale Huwa Kuna Wachambuzi Wasoka,siasa, uchumi, Udaktari N.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.