Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

Jamani mnalumbana nini kwawalio fika Rwanda wanawashanga Rwanda ina nini kilomita tano kutoka mji wa Kigali kuna watu wanaishi maisha ya ajabu.Pili asije kukudanganya mtuu eti Rwanda kuna haki sawa Kati ya wahutu na watutsi hakuna kitu kama icho sehemu nyeti zote niwa tutsi wanatawala sehemu ambazo hazina umuhimu ndo wamewekwa wahutu.Tatu kagame atapata amani mpaka aje kufariki Gen.kayumba nyamwasa ndomtu anaemuumiza kichwa.Nne nikosa sana kuifanisha Tz na rwanda kijeshi Tanzania ifanishe na Kenya.mwisho Rwanda ni bomu mda wowote linalipuka.
 
Kagame anajinasibu kua yeye ndye mwanaume pekee Rwanda mwenye maono makubwa na hakuna mwngine anayeweza tawala taifa lile ndyo maana katba yao inamruhusu small atawale milele akiwa mzima au mfu , sasa nashanga ma spy wake kina '' amahoro" hawatak kurudi wakamtoe paka a.k.a kagume
 
Kwa namna anavowadhibiti wapinzani wake unategemea wampende?
Akina Rwigara, Ingabire and the so unategemea wampende?
 
Na Forbes Magazine imemtangaza Kagame kua "Winner of the African of the Year Award by the All Africa Business Leaders Award".

Anatumika na mabeberu huyu.,hahah.
 
Jamani mnalumbana nini kwawalio fika Rwanda wanawashanga Rwanda ina nini kilomita tano kutoka mji wa Kigali kuna watu wanaishi maisha ya ajabu.Pili asije kukudanganya mtuu eti Rwanda kuna haki sawa Kati ya wahutu na watutsi hakuna kitu kama icho sehemu nyeti zote niwa tutsi wanatawala sehemu ambazo hazina umuhimu ndo wamewekwa wahutu.Tatu kagame atapata amani mpaka aje kufariki Gen.kayumba nyamwasa ndomtu anaemuumiza kichwa.Nne nikosa sana kuifanisha Tz na rwanda kijeshi Tanzania ifanishe na Kenya.mwisho Rwanda ni bomu mda wowote linalipuka.
Mi naombea sentensi yako iwe kweli nikapige mercenary kule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah hata sikujua kama huyo binti kaolewa mkuu.

Huku madongo kuinama hata kadi ntapatia wapi chief,hahah.
Hahahaha, kadi km hii hukuipata?
IMG-20181229-WA0010.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Forbes Magazine imemtangaza Kagame kua "Winner of the African of the Year Award by the All Africa Business Leaders Award".

Anatumika na mabeberu huyu.,hahah.
Hivyohivyo si unaona Sasa wanatumia kiingereza badala ya kifaransa! Huyu yuko pale kwa maslahi ya mabeberu tu
Nalog off
 
Nimepitia threads nyingi Sana na comments za watu zinazomhusu Paul kagàme, nimesikitika Sana kwa njisi ambavyo watu hawamupendi kagàme , ninaomba tufanye uchunguzi na comments bila chuki binafsi

Angalieni , katika inchi za Afrika au duniani kote , Ni raisi gani amefanikiwa katika kuiletea maendeleo inchi yake ?

Amewaunganisha wanyarwanda wote , makabira ya Rwanda yote ni wamoja na wanampenda Sana kagàme , hiii Ni kupitia kampeni yake iliyoitwa SOTE NI WANYARWANDA.. na Sasa umoja na mshikamano vinaonekana

Amaefanikisha kumaliza rushwa katika inchi yake , ambapo inchi nyingine zimeshindwa kabisa ..

Elimu Ni Bora kuliko inchi yoyote , mfano kila mtoto ana laptop yake , pia kuonesha ubora wake wa elimu , Tanzania imeazima wataalamu wa IT kutoka rwanda

Anatengeneza ndege zisizotumia rubani maalufu Kama DRONES , na ndizo zinatumika kusambaza madawa inchini

Amewagawia wanyarwanda Ngombe na kuwajengea nyumba nzuri

Ameitangaza rwanda kupitia timu ya kubwa ya England ya ARSENAL kupitia VISIT RWANDA, Leo kila mtu duniani anaulizia RWANDA , watalii wanaongezeka kila kukicha ((nitawaletea takwimu )

Kwakweli Mimi siyo mnyarwanda ila nimependa uongozi wa huyu mjeshi , Ni uongozi unaotakiwa kuigwa na watawala wengine , na tukipata kiongozi wa hivi hata akitawala milele ni sawa tu ..

Angalia Burundi , imepitia matatizo sawa na RWANDA , lakin kimaendeleo na usalama bado iko nyuma Sana , hii Ni kwasababu ya kiongozi mubovu

Nawaomba watanzania wenzangu , tuache chuki binafsi juu ya Paul Kagàme , acha achape kazi kwa ajili ya watu wake ,

Anawaoenda watu wake na watu wake wanampenda Sana , Ni wachahe Sana mainterahamwe ndio hawampendi ,

Kiongozi Bora hawezi kukaa kimya akiona watu wake wanauawa , Ni kiongozi mpumbavu Sana anayeweza kuona watu wake wananyanyaswa na akakaa kimya ..!!

KAGAME ni kiongozi wa watu , na ingewezekana tungefanya awe rais wa Afrika ,

Acheni chuki za kipuuzi
Hakuna anayemchukia Kagame ila tunachukia kilichoko ndani yake, yeye anawaza kuua, kuteka,kuiba,uchawi na tabia zote za shetani maana bora ukutane na shetani mwenyewe kuliko kukutana na Kagame. Ila sijidhanie ataishi milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom