Kwanini Jua linaelea angani?

Kwanini Jua linaelea angani?

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
419
Wakuu,

Hivi kwa nini Jua linaelea na kuzunguka angani?

Je haliwezi kuanguka chini?
 
Kila kitu kinaelea mkuu, jua, dunia, sayari nyingine, vyote vinaelea angani.
Kuna nguvu ya mvutano katika kila kitu ulimwenguni, vitu vyenye mass (kg) kubwa huvutana kwa nguvu zaidi ya vyenye mass ndogo.

Alafu nategemea unajua kua dunia ndio inalizunguka jua na sio jua kuzunguka dunia. Kama unataka maelezo zaidi ya jinsi mambo yalivyo uliza, ni mada ndefu sana kuielezea.
 
si ndio maana nimeuliza

Kwa maelezo mafupi na rahisi, ki jiografia jua, mwezi, nyota, Dunia na hata satellites hizi za kutengenezwa na wanadamu zinazounganisha mawasilainao ya tv na internet vyote viko angani na vinaelea bila kuwa vimeshikiliwa na kitu kinachoonekana kwa macho

Kuna umbali mkibwa sana kati ya vilipo jua, nyota, mwezi, satellite za wanadamu na Dunia. Ndio maana hapa duniani tunaona sayari hizo nyingine kama ziko jui ya dunia

Kitu kinachoshikilia vitu hivi visianguke ni nguvu ya asili ya uvutano inayojulikana kama gravitational force. Ingawa baadhi ya sarari kama Dunia na nyinginezo zinazunguka lakini mzunguko huyo unafanyika zikiwa hapo hapo zilipo bila kusogea na hazianguki kwa msaada wa hiyo nguvu ya uvutano

Nimelazimika kujibu hata kwa kiasi hiki kidogo ninachofahamu baada ya kuona unajibiwa kejeli wakati pengine ni kweli umeuliza ili usaidiwe kujua

I stand to be corrected
 
Back
Top Bottom