Sahihisha hapo kwenye Red, ila kifupi cheyo mimi nilikuiwa namkubali sana. alisema atawajaza watu mahela, maana alikuwa anaziona hizo hela, anajua utajiri wa nchi yetu. watu walimuona kama anaongeza mambo yasiyowezekana atawajaza watu mapesa,Muda ni kitu muhimu sana na msemo wa waswahili kuwa 'subira yavuta heri' ni msemo mkongwe na unaendelea kuelezea hali ya mambo katika maisha yetu ya sasa na yajayo.
Kuna kipindi nilikuwa namuona mzee Cheyo ni msanii katika upinzani kumbe sikuwa sahihi, John Cheyo ni mwanasiasa mkongwe na ameshika nyadhfa zenye kumuwezesha kujua mbaya na nzuri.
Cheyo hakujiunga na UKAWA pamoja na shinkizo kutoka kwa wanaharakati na wanasiasa wa vyama vya upinzani, Cheyo hakueleweka na wala hakusema sababu za kutojiunga na genge la UKAWA, kwa nini basi Cheyo hakujiunga na UKAWA kama alivyofanya MAKAIDI?
JE ni busara tu ama ni kuona kile kilichokuwa kikiendelea ndani ya UKAWA? Tumpe heshima ya uzalendo au usaliti?
mwny akili tmamu hawez kujiunga ukawa ila waliokataliwa kwao km akina Makaidi, mbatia, el na malofa wasiojtambua. Mwny akil sawia wala hahangaiki na ukawa maan ni chombo mfu.Kwanza nina wasiwasi kama mwaka hu atarudi BUNGENI. Sifa yake iliharibika sana wakati wa bunge la katiba but mzee huyu alipoteza nguvu zake mara baada ya bank 1 kuuza/kutaka kuuza nyumba yake ya pale Msasani Penisula, Cheyo akabadirika. Ni kama alivyokua hayati mchungaji Christopher Mtikila, mara baada ya Rostam Aziz kumnanga kwamba yeye aliisha wahi kuchukua PESA tokea kwake, makali ya Mtikila yakaishia hapo.
Muda ni kitu muhimu sana na msemo wa waswahili kuwa 'subira yavuta heri' ni msemo mkongwe na unaendelea kuelezea hali ya mambo katika maisha yetu ya sasa na yajayo.
Kuna kipindi nilikuwa namuona mzee Cheyo ni msanii katika upinzani kumbe sikuwa sahihi, John Cheyo ni mwanasiasa mkongwe na ameshika nyadhfa zenye kumuwezesha kujua mbaya na nzuri.
Cheyo hakujiunga na UKAWA pamoja na shinkizo kutoka kwa wanaharakati na wanasiasa wa vyama vya upinzani, Cheyo hakueleweka na wala hakusema sababu za kutojiunga na genge la UKAWA, kwa nini basi Cheyo hakujiunga na UKAWA kama alivyofanya MAKAIDI?
JE ni busara tu ama ni kuona kile kilichokuwa kikiendelea ndani ya UKAWA? Tumpe heshima ya uzalendo au usaliti?
Hana njia nyingine, kama Mrema anategemea huruma ya mafisiem