Kwanini jiji hili haliendelei?

Uwekezaji uliobakia kule ni mapenzi tu
Digrii ya kuloweka nguo za mpenzi asiondoke
Digrii ya mapishi na mahanjumati
Digrii ya kukata mauno
Digrii ya lugha tamu na laini ya kumtoa nyoka pangoni. ...
n.k. n.k. ......
Huko kwenu upareni kuna nini zaidi ya vumbi na jua kali,kama Tanga haifai mbona wapare wamejazana Tanga?Wamekuja kujifunza kukata mauno?Acha dharau
 
Huko kwenu upareni kuna nini zaidi ya Vumbi?Kama Tanga haifai mbona wapare wamejazana Tanga,wamekujafuata nini,au wamekuja kujifunza kukata mauno?Acha dharau!!
 
Umeona eeeh wale siri yao wana chambia maji ya bahari..... mauno yenyewe yanaanza kuzunguka hata ukiwa unapuu yana round tuu......

Msini kariri. .....[emoji14]
Maji ya bahari ni maji ,hakuna tatizo kuchambia kwa ajili ya kujiswafi,je kwenu upareni mwachamba mkenda haja?
 
Jiji la umwiny hilo .. Kiukwel sis watu wa tanga tumeoza sana... Hatuko serious na kutafuta.... Fika mtaan kwangu kwanjeka kwa mahewa ndo utajua.. Tunardhika na vijisent vijana tunapenda stareh kuliko kaz ndo mana wengi wanasukumwa na waarabu tu....
Amkeni
 
Mkuu naona utakuwa umeshindwa kukosoa hoja. Na hiyo yote ni kusoma kwa mihemko na si kwa umakini. Ulitakiwa utoe hoja za kupinga point zangu. Sasa hapo umetetea hadhi ya jiji lako dhidi ya Morogoro au pointless?
 
Uwekezaji uliobakia kule ni mapenzi tu
Digrii ya kuloweka nguo za mpenzi asiondoke
Digrii ya mapishi na mahanjumati
Digrii ya kukata mauno
Digrii ya lugha tamu na laini ya kumtoa nyoka pangoni. ...
n.k. n.k. ......
Utafiti wako kiboko
 
Huko kwenu upareni kuna nini zaidi ya vumbi na jua kali,kama Tanga haifai mbona wapare wamejazana Tanga?Wamekuja kujifunza kukata mauno?Acha dharau

Makubwa haya, heheheheheheheee poleeee sanaa eeeh hahahahahahahaaa..................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…