Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,138
Hio picha imepigwa kutoka kwenye jengo la tanesco mkoa.. Kwa mbele naona jengo la iliokua hotel cola prieto na kituo cha mafuta toc cha pale sigaramkuu hizi picha ulipiga muda gani maana hapo ni kati ya barabara 4-7 na huwa mishe zinakuaga nyingi eneo hilo
Nahache mndughu.Uwekezaji uliobakia kule ni mapenzi tu
Digrii ya kuloweka nguo za mpenzi asiondoke
Digrii ya mapishi na mahanjumati
Digrii ya kukata mauno
Digrii ya lugha tamu na laini ya kumtoa nyoka pangoni. ...
n.k. n.k. ......
Nahache mndughu, lakini wewe ni jirani ukitoa siri za jirani twajivua nguo wote nguo.
Hii picha itakuwa ilipigwa kipindi cha kampeni. Maana Lowassa alikuwa akitua mji wowote ule huoni mtu barabarani wote wapo uwanjani.mkuu hizi picha ulipiga muda gani maana hapo ni kati ya barabara 4-7 na huwa mishe zinakuaga nyingi eneo hilo
Du! una experience nako! au ndo walikomchukua yule aliekufanya usitake tena kuolewa?
Hahahahahahaha nimecheka sana hapo kwenye degree ya kukata mauno umenikumbusha wakati wa kampeni sasa hivi nikuisoma namba tu.
Dah! Basi itabidi niwe nalala '' one eye closed and another one open.... "[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahaaaaaaaaaUwekezaji uliobakia kule ni mapenzi tu
Digrii ya kuloweka nguo za mpenzi asiondoke
Digrii ya mapishi na mahanjumati
Digrii ya kukata mauno
Digrii ya lugha tamu na laini ya kumtoa nyoka pangoni. ...
n.k. n.k. ......
lazma uenjoySasa mkuu, mimi nikipata mke mwenye ma-digrii mengi hivyo siwezi kufa kwa furaha kweli? [emoji41]
Sorry, we ni ME au KE?Uwekezaji uliobakia kule ni mapenzi tu
Digrii ya kuloweka nguo za mpenzi asiondoke
Digrii ya mapishi na mahanjumati
Digrii ya kukata mauno
Digrii ya lugha tamu na laini ya kumtoa nyoka pangoni. ...
n.k. n.k. ......
Dodoma si ndio mji mkuu wa nchi? Kila kitu kinapatikana kule, iweje kulinganisha na Tanga iliyosuswa?Tanga inaachwa na dodoma kufumba na kufumbua
SHE MALE. ....Sorry, we ni ME au KE?
Tanga..
Mbona unaandika bila data wee mtumwa. Unaweza kuwa sahihi lakini si kwa maneno na emotions hizo.ILI mji upate maendeleo lazima kuwe na Vivutio vya uchumi. Kwa TANGA viwanda vimepungua kama sio kufa kabisa, pili mashamba ya mkonge yamekufa ambayo ndiyo yalikuwa yanasabibisha population, 3. Bandari ya tanga now imepungua ufanisi. 5. Wanyeji wanazuia wageni kuingia hvyo mchangamano na mwingiliano wa biashara hakuna.(ushirikina)
Mbavu zanguUmeona eeeh wale siri yao wana chambia maji ya bahari..... mauno yenyewe yanaanza kuzunguka hata ukiwa unapuu yana round tuu......
Msini kariri. .....π