Kwanini jiji hili haliendelei?

Kuna watu kweli? Mbona sioni hata kivuli road.

Wote wamezamia dar
 
Reactions: MC7
Hapo ni Tanga? Mbona watu hakuna kabisa?
 
Hakuna shughuli kubwa za kiuchumi, pia wazawa wenye uwezo mkubwa hawarudi kuwekeza.
 
Uwekezaji uliobakia kule ni mapenzi tu
Digrii ya kuloweka nguo za mpenzi asiondoke
Digrii ya mapishi na mahanjumati
Digrii ya kukata mauno
Digrii ya lugha tamu na laini ya kumtoa nyoka pangoni. ...
n.k. n.k. ......
Sasa mkuu, mimi nikipata mke mwenye ma-digrii mengi hivyo siwezi kufa kwa furaha kweli? [emoji41]
 
Tatizo uchawii umezidi, watu wakiyatoa huwa wanahama kabisa
 
ILI mji upate maendeleo lazima kuwe na Vivutio vya uchumi. Kwa TANGA viwanda vimepungua kama sio kufa kabisa, pili mashamba ya mkonge yamekufa ambayo ndiyo yalikuwa yanasabibisha population, 3. Bandari ya tanga now imepungua ufanisi. 5. Wanyeji wanazuia wageni kuingia hvyo mchangamano na mwingiliano wa biashara hakuna.(ushirikina)
 
Uwekezaji uliobakia kule ni mapenzi tu
Digrii ya kuloweka nguo za mpenzi asiondoke
Digrii ya mapishi na mahanjumati
Digrii ya kukata mauno
Digrii ya lugha tamu na laini ya kumtoa nyoka pangoni. ...
n.k. n.k. ......

Du! una experience nako! au ndo walikomchukua yule aliekufanya usitake tena kuolewa?
 
Uwekezaji uliobakia kule ni mapenzi tu
Digrii ya kuloweka nguo za mpenzi asiondoke
Digrii ya mapishi na mahanjumati
Digrii ya kukata mauno
Digrii ya lugha tamu na laini ya kumtoa nyoka pangoni. ...
n.k. n.k. ......
Hahahahahahaha nimecheka sana hapo kwenye degree ya kukata mauno umenikumbusha wakati wa kampeni sasa hivi nikuisoma namba tu.
 
Hahahaa kabla hata hujafa utajikuta ushazikwa looh hehehe
Siku hizi wamebadili slogan yao....
Waenda leo warudi baada ya miaka saba...
Dah! Basi itabidi niwe nalala '' one eye closed and another one open.... "[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi ndio huko kuna mgogoro wa umeya!? Yaani majengo tupu bila watu
 
Tanga imebadilika sana siku hizi.... Jiji linatanuka kwa kasi. Serikali haikuendeleza tanga.. Tanga ulikuwa mji wa viwanda, vi Wapi leo? Kiwanda cha mbolea, Ma blanket, matunda etc. Bandari bado haijaboreshwa. Reli ni kama imekufa. Hakuna train ya mizigo kwenda kaskazin ilihali Reli ipo...

Ask yourself went went wrong..
 
mkuu hizi picha ulipiga muda gani maana hapo ni kati ya barabara 4-7 na huwa mishe zinakuaga nyingi eneo hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…