Mimi binafsi Mjomba wangu ni kada wa CCM inaonyesha ana ID hapa Jamvini ila siifahamu, nilimsikia akisema kwamba kuna mtandao umeanzishwa na wahuni hawana adabu kabisa wamefikia mahala wanamzungumza vibaya mkuu wa nchi bila woga, alimtaja Mzee Mwanakijiji kwamba asipoangalia yanaweza kumkuta ya kumkuta, ndipo kwa mara ya kwanza niliingia kujisomesomea hapa Jamii forum, nilikuwa mpita njia tuu(sikujisajiri) baadaye nilijiunga baada ya kujiridhisha kwamba ni mahala pekee unapoweza kuzungumza waziwazi. na mada aliyokuwa akiizungumzia Mjomba ni hii hapa chini
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/18458-kikwete-frustrated-at-the-un.html
Niliudhuria presentation moja last week, Prof mmoja wa mambo ya uandishi wa habari akaongea kitu ambacho kilinifumbua kidogo.
Hizi social media ziko juu kuliko mainstream media kwa kuwa
1. Mainstream media worldwide ziko very corrupt; kuna habari kwa sababu zao binafsi hawaziripoti, au wakiripoti basi wanakuwa wamechakachua.
2. Social media zinatoa habari toka kwa knower. na si rahisi kumpa rushwa mtoa habari kwani humjuhi na hujuhi kama atarusha hiyo habari.
3. This is why vijana northern Africa walianzisha movement kwani walikuwa well informed with what is going on in their governments through these media.
4. Ndio maana nchi kama China wana restrict sana hii kitu.
5. I think this is a threat to mainstream media. If they don't make serious reforms in 50 years to come hamna atakayekuwa anaangalia TV news au kununua gazeti
5. Hizi media zimefanya kila raia kuwa mwandishi habari si kusubiri gazeti au TV
Mi email yangu ilikuwa hacked na JF..ikawa so flooded and bombarded by JF(Jambo Forums) topics kila leo,kila nikifungua email nakutana na JF..agh ikawa kero sasa!!Nikawa naanza kuzisoma sredi kupitia mail..nikadata na mawazo strong ya Mzee Mwanakijiji...!! hiyo ilikuwa 2006...,nilivyotembelea jukwaa la muziki nikakutana na zilipendwa akina Mbilia Bell na Franco...nazipenda sana hizi ngoma!!agh badae 2007 nikaona si vibaya kujiunga
Habari wana JF woote na familia yoote ya MMU .
Nina exactly 46 days toka nisikie kuhusu Jamii Forums na 45 days toka nijiunge . Kila siku inapopita nafurahia na kuappreciate uamuzi wangu wa kuamua kujiunga katika JF na kua mmoja wa GT.. Nimepata marafiki wengi, Chat mates, PM mates, admirers na non admires, Knowledge katika kila sphere kama habari, urafiki, mapenzi, utani, elimu, sheria, siasa, entertainment e.t.c. And most importantly nimepata exposure kubwa saana in a lot of things .
Sababu kubwa ilinifanya kujiunga ni baada ya kusikia mmoja wa viongozi wetu akilalamika kua Jamii Forums ina chafua na kuharibu image ya serkali as well as Chama cha magamba . (Namshukuru Mungu kila siku kwa huyo Leader kuipromote mpaka nikasikia) Hio ilinipush ni google kutaka nijue ni kitu gani, then nikaenda moja kwa moja kwenye International forum ambapo nilikutana na thread ambayo nilitaka saana nichangie sababu nilikua against na mtu alokua ametuma hio Thread (in fact alikua Rutashubanyuma) who ironically turned out to be one of my friends sasa I had to register hapo hapo!
From that moment kila kitu kilifuata mkondo hadi when I found my home in MMU a week later Cha ajabu kilichonifanya nijiunge sio kinachonifanya nibaki saizi . Napenda every fun and activity I do while in JF, napenda watu behind the Avatars na above the Signatures, napenda the challenges I meet (ndo maana siasa hua nakimbia ), napenda kua watu wako huru kujiexpress regardless of age or gender, napenda kua kuna variety of topics and forums, Hio ikisukumwa na watu ninaowasiliana nao na kubadilishan mawazo katika uzi mbali mbali .
Naamini kila mmoja ana sababu tofauti ingawa nyingine zaweza fanana.. wewe kama member wa JF naomba mchango na mawazo yako ni kwanini au nani alikusukuma na kukushawishi uweze kua moja wa member wa JF ukitaka/kubali kua GT
Asha D.
Pamoja Sana.
hii thread imekwenda kasi mpaka nasikia uvivu kuchangia...
Mwanzo kabisa nilikuwa active member kwenye ile forum ya BCS Times kabla haijafa. Baada ya kufa ikawa ndio mwisho wangu wa kuchangia tena kwenye mitandao. Mwaka juzi kuna mshikaji alikuwa na party akanialika. Kwenye party alikuwa anapiga zilizopendwa nzuri sana. Nilipomwomba anikopie hizo kwenye USB drive yangu akasema nyimbo zenyewe zinapigwa online. Nilivyomuliza site gani akasema JamiiForum. Tokea siku hiyo nikawa nakuja JF kusikiliza zilizopendwa wakati napitiapitia baadhi ya threads. Baadae nikaanza kunogewa na posts za baadhi ya wachangiaji nikaamua kujitosa.
Nitamkumbuka sana kijana mmoja anejulikana kama Gurta, huyu ndiye alienieleza uzuri wa jf na akanishauri niwe tu nazisoma nyuzi za watu bila kujisajili, nilipoona utamu nikajiunga tar 17 may, na ndani ya siku chini ya kumi nikawa member ambae tulifahamiana na mabect kibao. By this time niko kama mwehuuu, nimeathirika na Jf, muda mwingi niko bize na Jf, ila kiukweli naelimika kupitia Jf kwa kupitia mawazo ya walio wengi. ASANTENI SANA!
Thanx ma bro Gurta,
thanx Asha D for your best Thread.
Luv u all!
Usishangae... zile tensions ambazo hunipa zita affect thread won't be able to stop,
and i still need new infor, am learning a lot... naomba ukasome
Mentor kasema nini na hapo kwa Nyumba kubwa..
Niliudhuria presentation moja last week, Prof mmoja wa mambo ya uandishi wa habari akaongea kitu ambacho kilinifumbua kidogo.
Hizi social media ziko juu kuliko mainstream media kwa kuwa
1. Mainstream media worldwide ziko very corrupt; kuna habari kwa sababu zao binafsi hawaziripoti, au wakiripoti basi wanakuwa wamechakachua.
2. Social media zinatoa habari toka kwa knower. na si rahisi kumpa rushwa mtoa habari kwani humjuhi na hujuhi kama atarusha hiyo habari.
3. This is why vijana northern Africa walianzisha movement kwani walikuwa well informed with what is going on in their governments through these media.
4. Ndio maana nchi kama China wana restrict sana hii kitu.
5. I think this is a threat to mainstream media. If they don't make serious reforms in 50 years to come hamna atakayekuwa anaangalia TV news au kununua gazeti
5. Hizi media zimefanya kila raia kuwa mwandishi habari si kusubiri gazeti au TV
Mwanzo kabisa nilikuwa active member kwenye ile forum ya BCS Times kabla haijafa. Baada ya kufa ikawa ndio mwisho wangu wa kuchangia tena kwenye mitandao. Mwaka juzi kuna mshikaji alikuwa na party akanialika. Kwenye party alikuwa anapiga zilizopendwa nzuri sana. Nilipomwomba anikopie hizo kwenye USB drive yangu akasema nyimbo zenyewe zinapigwa online. Nilivyomuliza site gani akasema JamiiForum. Tokea siku hiyo nikawa nakuja JF kusikiliza zilizopendwa wakati napitiapitia baadhi ya threads. Baadae nikaanza kunogewa na posts za baadhi ya wachangiaji nikaamua kujitosa. Wanati najisajili nilikuwa nataka nitumie hii ID yangu kama password ikakataa b'se ni fupi mno. Ikabidi tuu niswap password to ID and ID to password.
So finally music ndo ilikuleta and zilipendwa at that and I thot politics...
A new insight...
Thank you for sharing EMT
Nakubaliana na wewe kabisa. Hii ndio ilimcost Mubarak. Wakati akiwa Rais alianzisha ICT project moja kuhakikisha kila familia inakuwa na komputa. Baada ya kufanikiwa akaja na nyingine kuhakikisha kuwa kila nyumba inakuwa na internet access. This is what made Egypt to be the leading country in Africa with many internet users. Social media imefanya raia wa kawaida kuwa journalists. Kama sio social media tusingeweza kuona entrance ya Kigoma Airport.
nikajifunza pia kuna watu mkitofautiana kwa PM,ni bifu kwa thread pia,nikajifunza kuna watu ukiwa friendly wana assume mengine...na namna ya kujadili issues na watu nisiowajua....its crazy but interesting.....!!! Naipenda JF kwa kuwa inanisaidia sehemu ya kazi kwa kunipa taarifa na muelekeo wa walio wengi....Asha,this is a very useful thread!!!