Kwanini Iran itapigwa mapema mno

Idd Ninga

Verified Member
Nov 18, 2012
4,936
2,000
Vita, vita hususani kwa mataifa makubwa kiuchumi na kijeshi,hupiganwa kwa njia ya ushirikiano mkubwa na uzalendo wa hali ya juu.

Wananchi wao na majeshi yao hutegemea urafiki kupiti baadhi ya mataifa yao ambayo ni washirika wanaofichiana siri na mambo mengi.

Washirika hao huanzisha vita kwa sababu yeyote wanayoitaka wao ikiwa ya wazi na ya siri na kujipanga na baadae kuja kuomba msamaha kuwa walikosea.

Iran na waarabu wengi, ni moja ya mataifa dhaifu katika ushirikiano, hiyo ni sababu moja kubwa sana ya Iran kupigwa mapema na Marekani na washirika wake, kwa sababu Marekani hatoenda vitani bila kuwa na watu watakao mzunguka pembeni kumsaidia.

Ila Irani wakati akipigana atapigana kwanza na watu wake ambao hawamuuingi mkono bali watu hao watakua wanaunga mkono upande wa Marekani,na wakati huo huo Marekani atapigana huku akipata ushirikiano kutoka kwa marafiki zake.

Wakati vita ikiwa katikati, uasi mkubwa utazuka ndani ya Irani na makundi mengi ya waasi kuzaliwa kutoka ndani ya jeshi la Irani, makundi haya yatakuwa yakitaka kupata mgao wao wa kiserikali na wao pia watakua wanapigana upande wa Marekani na hawa wataungwa mkono kwa muda, lakini baada ya serikali ya Iran kuangushwa makundi hayo yatageukwa na Marekani na kuhesabiwa kuwa ni makundi ya kigaidi, kwa sababu ifuatayo:

MAKUNDI YOTE MAWILI YATAACHIWA NCHI NA YATAANZA KUGOMBANIANA UTAWALA, kwa wakati huo viongozi wengi wa Irani watakuwa wamekimbia nchi, kukamatwa na wengine kuuwawa, huo utakuwa mwisho wa utawala wa kiislamu duniani.

Ikianguka Irani,utakua ndio mwisho wa utawala wa kiislamu na itachukua zaidi ya miaka elfu moja kurudi kwa tawala kama hizo.

Kwa sasa, haihitajiki nguvu tena kuliangusha taifa la Iran, inahitaji akili ndogo sana ya kiwango cha mwisgo kuimaliza kama muirani na marafiki zake hawatobadilika wataangamia wote.
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
28,699
2,000
'Kwa sasa,haihitajiki nguvu tena kuliangusha taifa la Irani,inahitaji akili ndogo sana ya kiwango cha mwisgo kuimaliza kama muirani na marafiki zake hawatobadilika wataangamia wote.'

Pale mchambuzi wa Vita kutoka Katavi anapowashauri ma General wa jeshi la Iran.

dodge
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,486
2,000
Vita,vita hususani kwa mataifa makubwa kiuchumi na kijeshi,hupiganwa kwa njia ya ushirikiano mkubwa na uzalendo wa hali ya juu.
Wananchi wao na majeshi yao hutegemea urafiki kupiti baadhi ya mataifa yao ambayo ni washirika wanaofichiana siri na mambo mengi.
Washirika hao huanzisha vita kwa sababu yeyote wanayoitaka wao ikiwa ya wazi na ya siri na kujipanga na baadae kuja kuomba msamaha kuwa walikosea.
Iran na waarabu wengi,ni moja ya mataifa dhaifu katika ushirikiano,hiyo ni sababu moja kubwa sana ya Irani kupigwa mapema na Marekani na washirika wake,kwa sababu Marekani hatoenda vitani bila kuwa na watu watakao mzunguka pembeni kumnsaidia,ila Irani wakati akipigana atapigana kwanza na watu wake ambao hawamuuingi mkono bali watu hao watakua wanaunga mkono upande wa Marekani,na wakayti huohuo Marekani atapigana huku akipata ushirikiano kutoka kwa marafiki zake.
Wakati vita ikiwa katikati,uasi mkubwa utazuka ndani ya Irani na makundi mengi ya waasi kuzaliwa kutoka ndani ya jeshi la Irani,makundi haya yatakuwa yakitaka kupata mgao wao wa kiserikali na wao pia watakua wanapigana upande wa Marekani na hawa wataungwa mkono kwa muda,lakini baada ya serikali ya Iran kuangushwa makundi hayo yatageukwa na Marekani na kuhesabiwa kuwa ni makundi ya kigaidi,kwa sababu ifuatayo:
mAKUNDI YOTE MAWILI YATAACHIWA NCHI NA YATAANZA KUGOMBANIANA UTAWALA,kwa wakati huo viongozi wengi wa Irani watakua wamekimbia nchi,kukamatwa na wengine kuuwawa,huo utakua mwisho wa utawala wa kiislamu duniani.
Ikianguka Irani,utakua ndio mwisho wa utawala wa kiislamu na itachukua zaidi ya miaka elfu moja kurudi kwa tawala kama hizo.
Kwa sasa,haihitajiki nguvu tena kuliangusha taifa la Irani,inahitaji akili ndogo sana ya kiwango cha mwisgo kuimaliza kama muirani na marafiki zake hawatobadilika wataangamia wote.
Vita haipiganwi kwa nani kupigwa au kutokupigwa, vita inapiganwa kwa nani anafaidika. Inaweza isirushwe hata silaha moja lakini watu wakawa wanafaidika.

Mmerekani hana sababu ya kupigana vita, yeye huanzisha chokochoko akakaa pembeni mtwangane alilowaanzishia huku yeye anafaidika na kuuza silaha na teknolojia zake. Kwake yupo salama salmini.

Mfano mzuri hapa kwetu, madini na rasilimali zote tulizonazo zinatusaidia nini sisi? Nani alinyanyua silaha kuipiga Tanzania? Tunaminywa tu ki intelijensia na njaa zetu wenyewe tunaachia kila kitu huku tunajisifu eti tunanunuwa madege! Khaa!

Vita ni zaidi ya kupigana. Silaha ni biashara. Mmerekani si mjinga arushe silaha yake ya gharama bila kujuwa nani anailipia, vile viwanda vinaendeshwa na watu kibiashara.
 
mkanyikivega

JF-Expert Member
Jan 16, 2016
215
250

Mmerekani != Mmarekani
Kujuwa != Kujua
Kununuwa != Kununua.
 
mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
1,554
2,000
Vita, vita hususani kwa mataifa makubwa kiuchumi na kijeshi,hupiganwa kwa njia ya ushirikiano mkubwa na uzalendo wa hali ya juu.

Wananchi wao na majeshi yao hutegemea urafiki kupiti baadhi ya mataifa yao ambayo ni washirika wanaofichiana siri na mambo mengi.

Washirika hao huanzisha vita kwa sababu yeyote wanayoitaka wao ikiwa ya wazi na ya siri na kujipanga na baadae kuja kuomba msamaha kuwa walikosea.

Iran na waarabu wengi, ni moja ya mataifa dhaifu katika ushirikiano, hiyo ni sababu moja kubwa sana ya Iran kupigwa mapema na Marekani na washirika wake, kwa sababu Marekani hatoenda vitani bila kuwa na watu watakao mzunguka pembeni kumsaidia.

Ila Irani wakati akipigana atapigana kwanza na watu wake ambao hawamuuingi mkono bali watu hao watakua wanaunga mkono upande wa Marekani,na wakati huo huo Marekani atapigana huku akipata ushirikiano kutoka kwa marafiki zake.

Wakati vita ikiwa katikati, uasi mkubwa utazuka ndani ya Irani na makundi mengi ya waasi kuzaliwa kutoka ndani ya jeshi la Irani, makundi haya yatakuwa yakitaka kupata mgao wao wa kiserikali na wao pia watakua wanapigana upande wa Marekani na hawa wataungwa mkono kwa muda, lakini baada ya serikali ya Iran kuangushwa makundi hayo yatageukwa na Marekani na kuhesabiwa kuwa ni makundi ya kigaidi, kwa sababu ifuatayo:

MAKUNDI YOTE MAWILI YATAACHIWA NCHI NA YATAANZA KUGOMBANIANA UTAWALA, kwa wakati huo viongozi wengi wa Irani watakuwa wamekimbia nchi, kukamatwa na wengine kuuwawa, huo utakuwa mwisho wa utawala wa kiislamu duniani.

Ikianguka Irani,utakua ndio mwisho wa utawala wa kiislamu na itachukua zaidi ya miaka elfu moja kurudi kwa tawala kama hizo.

Kwa sasa, haihitajiki nguvu tena kuliangusha taifa la Iran, inahitaji akili ndogo sana ya kiwango cha mwisgo kuimaliza kama muirani na marafiki zake hawatobadilika wataangamia wote.
Vita ya sasa imebadilika sana ndugu mtoa mada.Saddam hussen kilichofanya ile vita kuwa nyepesi kwa coalition force ni kwa sababu wao wenyewe walikuwa wamechoka utawala wake wa kimabavu.vikosi vingi vya saddam vili sign mikataba ya amani na coalition force.

Sasa ivi kuna balistic missile ambazo zinawekwa vichwa vya nuclear alafu vinatumwa kukata hata bara, kulingana na adui yupo wapi.sasa usipokuwa makini unaweza ukaitoa kafara nchi yako kwa mamuzi ya kijinga.

Makombora kama haya ni kitu cha kawaida kwa iran.saddam yeye alijisahau akawekeza sana kwenye zana za kawaida na kuwa na wanajeshi wengi kwa kujua kuwa hata akivamiwa basi itakuwa ngumu kupambana na jeshi lake, alichosahau kuwa wale ni binadamu na awatokuwa watiifu kwake kwa miaka yote.

Mapanki kasema bora tule nyasi kuliko kutokuwa na balistic missile na vichwa vya nuclear.

Defence missile uwa si kitu cha kukiamini sana ndo maana wachambuzi wa mambo uwa wanatoa asilimia ndogo sana kwenye hii mifumo

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Sadam na wenzake walisahau sana makosa yao,wakapigwa.
Vita ni kuweka huruma na iutu pembeni kwa muda kwanza hadi vita viishe.
Vita ni kujihami na kumnyima adui yako nafasi ya kukufahamu,Sadam aliruhusu wakaingia katika nchi yake,wakachunguza,wakampiga.
Kuna wakati ili kupigana na maadui hasa wanaotoka mataifa ya magharibi,ni lazima wahakikishe wanawasumbua vichwa,wakati wakipigana nao ndani,basi wakawaguse na nje kwao,saehemu za kusumbua wakishindwa kuwafata katika mataifa yao.
 
babu na mjukuu

JF-Expert Member
Jun 23, 2016
2,693
2,000
Vita, vita hususani kwa mataifa makubwa kiuchumi na kijeshi,hupiganwa kwa njia ya ushirikiano mkubwa na uzalendo wa hali ya juu.

Wananchi wao na majeshi yao hutegemea urafiki kupiti baadhi ya mataifa yao ambayo ni washirika wanaofichiana siri na mambo mengi.

Washirika hao huanzisha vita kwa sababu yeyote wanayoitaka wao ikiwa ya wazi na ya siri na kujipanga na baadae kuja kuomba msamaha kuwa walikosea.

Iran na waarabu wengi, ni moja ya mataifa dhaifu katika ushirikiano, hiyo ni sababu moja kubwa sana ya Iran kupigwa mapema na Marekani na washirika wake, kwa sababu Marekani hatoenda vitani bila kuwa na watu watakao mzunguka pembeni kumsaidia.

Ila Irani wakati akipigana atapigana kwanza na watu wake ambao hawamuuingi mkono bali watu hao watakua wanaunga mkono upande wa Marekani,na wakati huo huo Marekani atapigana huku akipata ushirikiano kutoka kwa marafiki zake.

Wakati vita ikiwa katikati, uasi mkubwa utazuka ndani ya Irani na makundi mengi ya waasi kuzaliwa kutoka ndani ya jeshi la Irani, makundi haya yatakuwa yakitaka kupata mgao wao wa kiserikali na wao pia watakua wanapigana upande wa Marekani na hawa wataungwa mkono kwa muda, lakini baada ya serikali ya Iran kuangushwa makundi hayo yatageukwa na Marekani na kuhesabiwa kuwa ni makundi ya kigaidi, kwa sababu ifuatayo:

MAKUNDI YOTE MAWILI YATAACHIWA NCHI NA YATAANZA KUGOMBANIANA UTAWALA, kwa wakati huo viongozi wengi wa Irani watakuwa wamekimbia nchi, kukamatwa na wengine kuuwawa, huo utakuwa mwisho wa utawala wa kiislamu duniani.

Ikianguka Irani,utakua ndio mwisho wa utawala wa kiislamu na itachukua zaidi ya miaka elfu moja kurudi kwa tawala kama hizo.

Kwa sasa, haihitajiki nguvu tena kuliangusha taifa la Iran, inahitaji akili ndogo sana ya kiwango cha mwisgo kuimaliza kama muirani na marafiki zake hawatobadilika wataangamia wote.
Ndio yalikuwa mahubiri kanisani kwenu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngonidema

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
2,661
2,000
Vita haipiganwi kwa nani kupigwa au kutokupigwa, vita inapiganwa kwa nani anafaidika. Inaweza isirushwe hata silaha moja lakini watu wakawa wanafaidika.

Mmerekani hana sababu ya kupigana vita, yeye huanzisha chokochoko akakaa pembeni mtwangane alilowaanzishia huku yeye anafaidika na kuuza silaha na teknolojia zake. Kwake yupo salama salmini.

Mfano mzuri hapa kwetu, madini na rasilimali zote tulizonazo zinatusaidia nini sisi? Nani alinyanyua silaha kuipiga Tanzania? Tunaminywa tu ki intelijensia na njaa zetu wenyewe tunaachia kila kitu huku tunajisifu eti tunanunuwa madege! Khaa!

Vita ni zaidi ya kupigana. Silaha ni biashara. Mmerekani si mjinga arushe silaha yake ya gharama bila kujuwa nani anailipia, vile viwanda vinaendeshwa na watu kibiashara.
Dada faizafoxy heri ya mwaka mpya na habar ya siku
 
michaelfabian

Member
Jan 12, 2018
20
45
Vita haipiganwi kwa nani kupigwa au kutokupigwa, vita inapiganwa kwa nani anafaidika. Inaweza isirushwe hata silaha moja lakini watu wakawa wanafaidika.

Mmerekani hana sababu ya kupigana vita, yeye huanzisha chokochoko akakaa pembeni mtwangane alilowaanzishia huku yeye anafaidika na kuuza silaha na teknolojia zake. Kwake yupo salama salmini.

Mfano mzuri hapa kwetu, madini na rasilimali zote tulizonazo zinatusaidia nini sisi? Nani alinyanyua silaha kuipiga Tanzania? Tunaminywa tu ki intelijensia na njaa zetu wenyewe tunaachia kila kitu huku tunajisifu eti tunanunuwa madege! Khaa!

Vita ni zaidi ya kupigana. Silaha ni biashara. Mmerekani si mjinga arushe silaha yake ya gharama bila kujuwa nani anailipia, vile viwanda vinaendeshwa na watu kibiashara.
Kunywa Savanah popote ulipo mi ntalipia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom