Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,136
- 4,298
Vita, vita hususani kwa mataifa makubwa kiuchumi na kijeshi,hupiganwa kwa njia ya ushirikiano mkubwa na uzalendo wa hali ya juu.
Wananchi wao na majeshi yao hutegemea urafiki kupiti baadhi ya mataifa yao ambayo ni washirika wanaofichiana siri na mambo mengi.
Washirika hao huanzisha vita kwa sababu yeyote wanayoitaka wao ikiwa ya wazi na ya siri na kujipanga na baadae kuja kuomba msamaha kuwa walikosea.
Iran na waarabu wengi, ni moja ya mataifa dhaifu katika ushirikiano, hiyo ni sababu moja kubwa sana ya Iran kupigwa mapema na Marekani na washirika wake, kwa sababu Marekani hatoenda vitani bila kuwa na watu watakao mzunguka pembeni kumsaidia.
Ila Irani wakati akipigana atapigana kwanza na watu wake ambao hawamuuingi mkono bali watu hao watakua wanaunga mkono upande wa Marekani,na wakati huo huo Marekani atapigana huku akipata ushirikiano kutoka kwa marafiki zake.
Wakati vita ikiwa katikati, uasi mkubwa utazuka ndani ya Irani na makundi mengi ya waasi kuzaliwa kutoka ndani ya jeshi la Irani, makundi haya yatakuwa yakitaka kupata mgao wao wa kiserikali na wao pia watakua wanapigana upande wa Marekani na hawa wataungwa mkono kwa muda, lakini baada ya serikali ya Iran kuangushwa makundi hayo yatageukwa na Marekani na kuhesabiwa kuwa ni makundi ya kigaidi, kwa sababu ifuatayo:
MAKUNDI YOTE MAWILI YATAACHIWA NCHI NA YATAANZA KUGOMBANIANA UTAWALA, kwa wakati huo viongozi wengi wa Irani watakuwa wamekimbia nchi, kukamatwa na wengine kuuwawa, huo utakuwa mwisho wa utawala wa kiislamu duniani.
Ikianguka Irani,utakua ndio mwisho wa utawala wa kiislamu na itachukua zaidi ya miaka elfu moja kurudi kwa tawala kama hizo.
Kwa sasa, haihitajiki nguvu tena kuliangusha taifa la Iran, inahitaji akili ndogo sana ya kiwango cha mwisgo kuimaliza kama muirani na marafiki zake hawatobadilika wataangamia wote.