Kwanini Iran isipige kombola pale California

Iran anawapiga jamaa zake waarabu.Hii achague kumpiga Israel au Marekani directly sio jamaa zake sema vita sio nzuri asee tuombee amani
Katangaza jioni ya leo kuanzia mida ya usiku, kaanza na hizo base za US kutoka nchi saba,so mda si mrefu kaa Aljazeera, Hindustan Times uanze kustreams vita maana vita za middle east,unastream kama movie.
 
Shida hapo ni kwa nini Iran hawezi kuthubutu kuishambulia Marekani direct, apige kombola pale New York....

Kama Iran anajiweza apeleke mashambulizi moja kwa moja pale California 😂😂😂😂 aache kupiga kambi za jeshi za Trump kwenye nchi za watu.

Iran unaweza kuta akapiga kombola pale Kenya kwenye kambi za jeshi za USA badala ya kutuma kombola pale Miami.
Hata marekani haina uwezo huo ndio maana inabidi itumie nchi za jirani na Iran kufanya mashambulizi.

Alternatively wanatumiaga meli vita zilizo karibu na Persian gulf ili kurusha makombora au ndege vita.

So Iran ingekua na kambi mfano Mexico au Cuba ingeweza kupiga.

Ndio maana imeshambilia ubalozi/kambi za jeshi za wa marekani kwenye moja ya kombora huko Bahrain/Qatar ambayo kimsingi ni ardhi ya USA!!
 
Kwamba Iran hawana Meli za Kivita?

Watume Meli za Kavita hadi pale Miami, waotungue Marekani.

Hizo balozi au kambi wanazoshambulia unakuta wafanyakazi wengi sio wamarekani ni raia wa hizo nchi. Hata hapa kwetu balozi za marekani unakuta boss ndio marekani, alafu wafanya kazi wengi wa chini unakuta ni wabongo
 
Mbona imelipua ubalozi au hujui ubalozi wa marekani huko bahrain unahesabika ni ardhi USA??
Kuishambulia Bahrain ni sawa... na wewe upigwe konzi na Abdul Kisha uende kulipa kisasi kwa Omari kisa tu Abdul uwa analala na Omari... kwa nini husiende moja kwa moja kwa Abdul ulipe kisasi
 
Kwamba Iran hawana Meli za Kivita?

Watume Meli za Kavita hadi pale Miami, waotungue Marekani.

Hizo balozi au kambi wanazoshambulia unakuta wafanyakazi wengi sio wamarekani ni raia wa hizo nchi. Hata hapa kwetu balozi za marekani unakuta boss ndio marekani, alafu wafanya kazi wengi wa chini unakuta ni wabongo
Elewa basi, ukipewa ardhi ya kuweka ubalozi kisheria pale sio Tanzania tena ni ardhi ya nchi iliyoweka ubalozi!! Ndio maana ukivamia ubalozi wa nchi husika basi serikali yao ina haki ya kutamka kuwa imevamiwa!!

Assange amewahi jificha ubalozi wa Ecuador na serikali ya uingereza ilishindwa mkamata maana ilikua haina kibali cha kukamata nchi nyingine!!
 
Kuishambulia Bahrain ni sawa... na wewe upigwe konzi na Abdul Kisha uende kulipa kisasi kwa Omari kisa tu Abdul uwa analala na Omari... kwa nini husiende moja kwa moja kwa Abdul ulipe kisasi
Hapana hajapigq Bahrain amepiga kambi na meli vita zilizopo Bahran, Qatar na kokote pale ambapo zana za USA zilikua zinafanya mashambulizi kuelekea Iran.

Pia ufahamu kuwa makombora ya Iran kuelekea Israel yamekua yakidunguliwa na Saudia, Jordan etc so ni halali pia maana wameshachagua upande wa kumtumikia adui.
 
Shida hapo ni kwa nini Iran hawezi kuthubutu kuishambulia Marekani direct, apige kombola pale New York....

Kama Iran anajiweza apeleke mashambulizi moja kwa moja pale California 😂😂😂😂 aache kupiga kambi za jeshi za Trump kwenye nchi za watu.

Iran unaweza kuta akapiga kombola pale Kenya kwenye kambi za jeshi za USA badala ya kutuma kombola pale Miami.
Muulize Japan manake yeye ndiyo mfano pindi US unapomgusa kwenye ardhi yake, yaani anaachia nuclear bila ya kujiuliza mara mbili. Wao wanaamini sheria za kimataifa ni kwa ajili ya mataifa mengine ila siyo kwao.
 
Shida hapo ni kwa nini Iran hawezi kuthubutu kuishambulia Marekani direct, apige kombola pale New York....

Kama Iran anajiweza apeleke mashambulizi moja kwa moja pale California 😂😂😂😂 aache kupiga kambi za jeshi za Trump kwenye nchi za watu.

Iran unaweza kuta akapiga kombola pale Kenya kwenye kambi za jeshi za USA badala ya kutuma kombola pale Miami.
Kwanini ajisumbue kupiga Miamai wakati interest za USA zipo hapo jirani yake?
 
Back
Top Bottom