Mnaringa sana na mnajickia sana,vilevile mnakuwa na dharau na mnakuwa hamjal mahusioni ''kwa maaana hamtunzi wala kuonyesha bidii zako''''kwa kujickia wapo wengi wanaume nitapata mpaka inafikia unakua umeliwa na wengi na kuonekana malaya,xo anaona anapoteza time anasepa kule kwenye thamani,na wakat mwanaume hupenda anayemsikiliza na kumuheshimu