my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Moja, Jifunze kuandika Kiswahili kilichonyooka kama Mtu mzima aliefikia umri wa kuolewa,hv kwann wanalewa awana shep wala sura? mfn rafk zng co wazur wala nn lakin wanaolewa. mm nna shep na sura nawasnda wote lakin mbona colew cdum na wanamme? msada tafazal. wengne wasema nmelogwa et inaeza kua kwel jaman? msada
thanx n advnc
hv kwann wanalewa awana shep wala sura? mfn rafk zng co wazur wala nn lakin wanaolewa. mm nna shep na sura nawasnda wote lakin mbona colew cdum na wanamme? msada tafazal. wengne wasema nmelogwa et inaeza kua kwel jaman? msada
thanx n advnc
huyu basha wallah...
wewe si umeanzisha mada kule ukijidai una bikra kumbe umeshatusuliwa siku nyingi umebaki tu na mashimo kama ya bulyanhuluHivi kwanini wanaolewa hawana shepu wala sura. Mfano rafiki zangu sio wazuri wala nini lakini wanaolewa. Mimi nina shepu na sura nawashinda wote lakini mbona siolewi na sidumu na wanamme.
Wengne wasema nimelogwa eti inaweza kua kweli jamani.
Msada tafadhali.
Thanx for your advice.