mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,496 Aug 15, 2014 #2 Wanapenda makuu
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,853 Reaction score 25,039 Aug 15, 2014 #3 kwa sababu inakua vile
Bukayo jr JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 2,782 Reaction score 1,647 Aug 15, 2014 #4 ngoja tuikuze
A armi Senior Member Joined Aug 11, 2014 Posts 140 Reaction score 26 Aug 16, 2014 #5 kashengo said: ngoja tuikuze Click to expand... Zimejaa pedi humo
Tee Bag JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 7,220 Reaction score 5,627 Aug 16, 2014 #6 Nyigi humo n vyupi maana mila baada ya Massa mawili wanahitaji kubàdili la sivyo hapakaliki
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Aug 16, 2014 #7 Tunaombaga msaada kwa kisingizio cha 'begi langu' dogo halafu tunawaponda
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Aug 16, 2014 #8 Kuna vipodozi vya kila aina, diary ya kuandika mambo yake, album, nguo zote anabeba kumbuka harudii nguo,
Kuna vipodozi vya kila aina, diary ya kuandika mambo yake, album, nguo zote anabeba kumbuka harudii nguo,
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Aug 16, 2014 #9 Tena hapo naona kama ilitakiwa sanduku kama hizo ziwe mbili
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 Aug 16, 2014 #10 Pengine kuna vitu vingine vikawekwa kwenye hand bag
Heaven Sent Platinum Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,719 Reaction score 98,389 Aug 16, 2014 #11 Hahahhaha afu nyie wajanja, hamkawii kusema ooh begi langu dogo, niwekee hivi vitu kwenye begi lako