Mara kwa mara nimekuwa nikisikia kauli za viongozi mabalimbali hasa bungeni(mawaziri) kwamba wafanyakazi wanaopangiwa kazi katika
mikoa ya pembezoni wanaacha kazi.Napenda kufahamu tofauti iliyopo kati ya mikoa ya pembezoni,mikoa masikini na mikoa iliyo mipakani.
Pia nimekuwa nikisia matamshi yanayotolewa na waandishi wa habari/watangazaji,kwa mfano,tukio la mabomu lililotokea gongolamboto
nje kidogo ya jiji la Dar es salaam,police wamempeleka mtuhumiwa
kituo cha kati.
Kama unao uelewa mzuri wa lugha yetu ya kiswahili,je matamshi yaliyoanishwa hapo juu yanatumika inavyostahili?
0713-046466
mlimbwa1977@yahoo.com