ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 14,071
- 27,760
Nmetafta Google nzima sijamuona real Madrid hata picha haipoBasi tufanye hivi..
Kwa kuwa ameifundisha Getafe FC kwa miezi 4 na Real Madrid kwa Miezia 6.
Tuhitimishe kwa kusema Pablo Escober ni Kocha bora kwa sasa hapa barani afrika kuliko Pitso Mosimane.
Pia tuhitimishe kwa kusema Pablo Escobar ni kocha mwenye mafanikio makubwa kuliko Pitso Mosimane.