demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,251
- 15,125
Kwanini Frolent Ibenge amekuwa akipenda kusimamia falsafa ya soka la Kikongo la kupenda wachezaji/viungo wasio wanyumbulifu zaidi?
Je ni sababu inayompelekea kuona mchezaji mbadala wa kufanikisha malengo yake pale RS Berkane ni kuwa na aina ya kiungo kama Mukoko.
Huenda labda mafanikio yake katika soka la Kiafrika limechochewa sana na utumiaji wake wa viungo wasio wanyumbulifu na wenye uwepesi wa kufanya maamuzi.
Pia amekuwa mfuasi mkuu sana wa wachezaji wenye uzania sawa katika ulinzi/ushambulizi.
Huenda Mukoko akawa jawabu la mafanikio yake pale RS Berkane.
Lakini kinacho muumiza zaidi ni kwamba Klabu ya Mukoko haina mpango wa kumuachia Mukoko hivi karibuni.
Hii ni kutokana na kuwa Aucho si mchezaji mwenye uwezo wa kuhimili physical challenges hivyo yuko prone to injury. Kitu ambacho kinawapa wasiwasi sana viongozi wa klabu kumuachia Mukoko ili hali bado hawajapata mbadala wa pili wa Aucho.
Je nini afanye Ibenge kuhakikisha anampata Mukoko kwa gharama yeyote ili akamilishe malengo yake katika klabu ya RS Berkane? Itampasa avuke mipaka ambayo itawashawishi zaidi viongozi wa Yanga kumuachia Mukoko. Moja ya hilo sio kuleta kitita cha pesa tu...Bali kuongeza cha Juu zaidi ambacho kitawatamanisha zaidi Yanga.
Je ifikapo January, kuna uwezekano wa kuona swap deal ya kwanza kabisa ikifanyika baina ya Mukoko na Chama.
Muda Utaongea.