Kwanini Ibenge Anampenda Sana Mukoko Kuliko Clatous Chama?

UTOPOLO siku hizi wamekuwa vichaa.
Wachezaji wa UTOPOLO wanapuliza bangi kwanza ndio wanaingia kucheza bolu.
 
Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila ninachojua Mchezaji pekee ambaye ana Kipengele cha kutokuja kucheza Yanga SC ni Jose Luis Miquissone tu na siyo kwa Clatous Chota Chama.

Unahisi usingeanza na "Mimi ni shabiki wa Simba SC" hii post yako isingefahamika?
 
Kwa Upumbavu ( Uzuzu ) wako ulionao wa Kurithishwa isingefahamika na wala usingenielewa pia.

Watu wote wanaoanza post zao kwa kusema "mimi ni Simba damu" "Mimi ni Yanga Damu" "Mimi ni Mshabiki wa SC" n.k.
Basi hawa wanajulikana ni kina nani!! Hivyo Dada umeshajuilikana.
 
Back
Top Bottom