Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Umetisha mkuu[emoji3]Kama una magodoro kama chapati, yamejaa mikojo ya kila aina! Unapata wapi ujasiri wa kuhama mchana?
Una maanisha nang'wanda sijaona au..??Labda kwenu tu huko Nang'andwa ndo kuna mambo hayo.
Hapo issue ni privacy tu nafikiri ... Cdhani kama kuna myth zingineImezoeleka kuona watu wanahama (kuhamisha mizigo) nyakati za usiku.
Watu wanaogopa nini kuhamisha mizigo nyakati za mchana ? Ni aibu ya aina ya vyombo mtu alivyonavyo au ni desturi ambayo haina mantiki yoyote?
Wapangaji kazi kwetu !
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama una magodoro kama chapati, yamejaa mikojo ya kila aina! Unapata wapi ujasiri wa kuhama mchana?
Jisemee siio sote. Wengi mnapenda kuhama usiku kuficha umaskini wenu. Sisi wenye vijisenti si haba kwanza hatuhami. Tulihama tulipohamia kwenye mijengo yetu. Kuhama ni pale ninapolazwa au kusafiri kwa muda mrefu. Hivyo, kuhama ni kwa ajli ya maskini, vijana na watumishi wa umma wanaohamishwa hamishwa si kwetu sote mwanangu.Imezoeleka kuona watu wanahama (kuhamisha mizigo) nyakati za usiku.
Watu wanaogopa nini kuhamisha mizigo nyakati za mchana ? Ni aibu ya aina ya vyombo mtu alivyonavyo au ni desturi ambayo haina mantiki yoyote?
Wapangaji kazi kwetu !
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app