ANAUPIGA MWINGI
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 389
- 753
Rais Samia kuzungumzia Ufisadi kwa sasa ni sawa na kwenda against timu yake mpya ambayo imejaaa Wapigaji ambao ni Certfied.
Timu yake ukiangalia ni timu ya wapigaji ukianza na Waziri wake wa Pesa, Mpaka Makamu Mwenyekiti wake wa Chama.
Bado hujaja kwa mtu kama Rostam yule anapiga then anapotea miaka kadhaaa,
Kwa kifupi sifa kubwa za timu yake ambayo ilikuwa ni timu ya Kikwete ni Upigaji, huwezi niambia kwamba ana timu ya Wachapa kazi hapana ana timu ya watu watakao hakikisha upigaji.
Mtu kama Mwigulu Nchemba ana Uchapa kazi upi? January Makamba ana Uchapa kazi Upi? hawa ni wapigaji certfied.
Mama kuzungumzia report ya CAG ni kuwaudhi timu yake mpya ya kazi na njia pekeee ya kuto kuwaudhi ni kupiga kimya kwenye ishu za Upigaji pesa.