Kwanini huniamini?


Ni kweli una haki ya kujiridhisha na kuchunguza nyendo za mpenzi wako kama ni sawa.Hauwezi kuamini kirahisirahisi hivyo bila kuthibitisha kama unachokiamini ni sahihi.
 
magode, wanachoongea miss chagga na atoto ndicho kinachofanyika na wengi katika jamii yetu, usishangae sana....! Hiyo ni ishara tosha kuwa % kubwa ya watz hawana uaminifu si katika mahusiano tu bali katika nyanja nyingi za maisha.

Mtu akiona simu ni kila kitu kwake na isishikwe na yoyote kisa ni "mobile", hata mumewe...then kwangu he/she leaves a lot to be desired..!
 
Last edited by a moderator:
Km hiki nnachokisikia kwa miss chagga & atoto basi nyumba zinaficha mengi! Lkn wanajaribu kuonyesha jinsi ambavyo kwao uaminifu ni msamiati mgumu! Lkn kwa nini ujitese namna hiyo!? Maana hayo ni mateso,huwezi kuacha simu hata km unaenda kuoga nk,ukiiacha unaweka silent na password,hivi hamuoni km hii nayo ni aina kichaa!?
 
Last edited by a moderator:

anashika simu yangu akitafuta nini huko????
 
Last edited by a moderator:


hiki ni kichaa salama
 
Last edited by a moderator:
!
!
mkuu ni kweli kabisa, na najijua kuwa sio mwaminifu, niliwahi kuwa ila sijawa mwaminifu kwa muda mrefu sana mpaka nimesahau lini nilikuwa. Nasikitika sana lakini ndio basi tena, nitafanyaje sa ndio nshakuwa.
Basi tena.

Ukimwamini YESU moyoni mwako na kumkiri kwa kinywa chako na nguvu zake zikiingia kwako atakuwezesha kuyaacha yote.Dawa ni wokovu tu ndugu yangu ndo utakutoa hapo ulipo la sivyo Jehanamu nje nje.
 
mweeee!!! hili swali si lilikuwa la miss chagga? sasa mbona waniuliza mimi tena?
Nimekuuliza na wewe coz mna mentality moja..
lakini unaonekana kuwa na kigugumizi, nimeshapata jibu la swali langu...
...bado tuna safari ndefu...!
 
Nimekuuliza na wewe coz mna mentality moja..
lakini unaonekana kuwa na kigugumizi, nimeshapata jibu la swali langu...
...bado tuna safari ndefu...!

sasa nakujibu nini wakati hayupo huyo wa kuwa mwaminifu kwake!!! hebu subiri kwanza maybe baaadaeeeee ndio uniulize nitakuwa na majibu
 
sasa nakujibu nini wakati hayupo huyo wa kuwa mwaminifu kwake!!! hebu subiri kwanza maybe baaadaeeeee ndio uniulize nitakuwa na majibu
atoto, kwani huna boyfriend kweli?..au tayari ushaanza...teeeeeh!
ngoja nimuite yule jamaa nimuulize coz nilidhani yeye no mmiliki...!
 
Last edited by a moderator:
atoto, kwani huna boyfriend kweli?..au tayari ushaanza...teeeeeh!
ngoja nimuite yule jamaa nimuulize coz nilidhani yeye no mmiliki...!

mmmh!!! jamaa gani tena??? huu sasa ni.......... ole wako niachike utanioa nakwambia!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…