Kwanini Hongkong wanaichukia sana China?

Kwanini Hongkong wanaichukia sana China?

Miki123

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
289
Reaction score
505
Hongkong kuna maandamano ya kutisha kutokana na "muswada wenye utata" uliopitishwa na Serikali Kuu ya China.

Mapambno yamekuwa makubwa kati ya polisi na waandamanaji.

_112519985_hi061646014.jpg


Katika harakati za kuivuruga china kabisa, Trump amesema atachukua hatua kali zaidi dhidi iwapo muswada huo utapitishwa. Ameachana na COVID19 amehamia Hongkong.

Hongkong ipo kama Macau, ni miji iliyo na haki ya kujitawala wenyewe lakini maandamano ya namna hii yamekuwa kawaida huko na sio Macau.
 
Ziko vita za kiuchumi zinaendelea, na America watakua wanatafuta mshirika aliyeko ndani ya China yenyewe,so yamkini amepata uongozi wa juu wa HongKong na wamekubaliana jambo na sasa wana jaribu kutibua ili wafikie adhima yao lakini nijuacho Rais wa China ana uwezo mkubwa sana wa kuongoza nchi kama Rais wa kwetu,hiyo ataimaliza kwa hekima
 
Mwenye full nondoz kuhusu mgogoro huu atafahamishe maana wengine tunajua juu juu tu .
 
Back
Top Bottom