Mimi
niliomba msaada humu masikini ID yng wakadhani me ni ke,yani mtu
anaku-pm haraka na ana uwezo wa kukufanyia mpango but mkiwasiliana tu
akasikia ni me ndo anapotea mazima.
Mpaka ss nipo tu nimekaa Mungu anajua[/QUOTE
Pole sana,
walichukulia tofauti neno halisi ya mkwano kwa wanao jua maana linatumika sana ug
daaah elimu ya Tanzania haina mwelekeo kwa watu wake. yanahitajika mabadiliko
Nilishewahi kusema! na kuleta uzi, wakanipuuza lakn ukweli utabaki pale pale!!
Habari! Walimwengu.
Kama kusoma nimesoma lakini maisha yamekuwa tofauti na mategemeo yangu! Kiukweli, kazi imekua ngumu kupata, sina hela sina connections yoyote!. Yani nadharaulika! Mpaka nimechoka, niliomaliza nao std 7, form 4&6 ndo nawanyenyekea kuwaomba msaada wa pesa, connections mpaka kazi wananiahidi then wananpotezea!
Sitaki kumkufuru mungu au kuamini kuwa nina mkosi au familia yetu sio ya kufanikiwa! Lakin hata kaz yoyote ya kupata cha kujikimu tu! imeshindikana kuomba nimeomba mpaka kwa sauti ya huruma lkn bado! Mim ndio wakwanza na pekee kufika chuo kwenye ukoo wetu lakini sioneshi ahueni ili ndg wengine waige kwangu! Bali nimekuategemezi kwao kwasababu wao washauzoea mtaa!.
Nimechoka! Nimechoka! Nimechoka!, nitajiajirije wakati hata buku ya vocha na usafiri shida, nitalimaje wakati ndugu wote wakulima na bado hatuna kitu. Imeniuma sana mpaka nkaamua kuleta kilio changu kwenu ni pale; kwanza cv yangu haina chochote zaidi ya wapi nilisoma kwasababu sijawah fanya kazi kokote ni shule tu!,basi jana usiku
Nilipomwambia mdogo wangu mmoja shida zangu anafanya kazi kweny kampuni moja hivi namuita mdogowangu kwasababu nlimuacha shule(o'level) na anaelimu ya form four tu! akaniambia "eti andaa cv yako vizuri' form 4 anamwambia mwenye degree"afu akaingia mitini.dunia haiko fair kabsaa!!. Namuomba mungu awazidishie muweze kunisaidia amina! Kazi njema!
Bongo kazi zipo nyingi tu tatizo madogo either vigezo hauna vya kupata ajira, GPA ndogo au hamjitumi kutafuta...ukuiwa na lower second au pass unafikiri nani atakupa ajira..so mimi nakushauri kama unavigezo vilivyojitosheleza wewe endelea kutuma maombi na muombe mungu ipo siku utapata..usikate tamaa!!!
nani kakwambia lower second ni GPA ambayo haifai nadhani wewe haujaenda shule kama unaijua shule vizuri uwezi kuandika ujinga huo kuhusu GPA hata kidogo
Mimi niliomba msaada humu masikini ID yng wakadhani me ni ke,yani mtu anaku-pm haraka na ana uwezo wa kukufanyia mpango but mkiwasiliana tu akasikia ni me ndo anapotea mazima.
Mpaka ss nipo tu nimekaa Mungu anajua