Kwanini hivi jamani...

Ndio mana tukaitwa wanawake mkuu
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ebu urudi bana unakimbia wapi sasa matahira woyeeeeee hivi picha yangu bamdogo haijakufikia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na yeye tutamsambazia picha zake kwani sh ngapiii
Nitasema mwanangu tunafanana kama mneona yangu haina haja hata ya kumjua shunie
 
Ndo wawe wanaangalia hao wakuwavulia hivyo vyupi vyao, mbona wenzao hawaanikwi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umakini unahitajika aiseee matahira ni wengi ila baby hana hizi mambo jamaan atanisitiri ila utahira si mzuri kabisa
Shunie umeskia hiii

wengine matahiraa[emoji9] [emoji1] [emoji1]

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
yaaani kuna watu hawajitambui kabisa
sio kua wewe unaishi enzi za ujima

hapanaa...wewe umelelewa ukaleleka..

ukawaelewa wazazi wako au walezi wanachotaka uingie nacho mtaani

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] endelea tu kunistahi jamaan
Uwe na heshima sasa.... ukiniona uniamkie la sivyo nitakuamsha DUDE la kitahira
 
Uwe na heshima sasa.... ukiniona uniamkie la sivyo nitakuamsha DUDE la kitahira
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]na huu ubonge kama nakuona ulivyocheka ulivyotumiwa picha zangu li shunie lenyewe ndio lipo hivi mbele hajulikani nyuma hajulikani kuamshiwa dude ndio kiki ya jf bamdogo niamshie tu jamaan ila uzi hautadumu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…