Kwanini hivi jamani...

Aisee ebu mtake radhi geni huyo ni mdada tena wa haja mkuu

Kweli maneno yako
Na namuomba radhi kama nimimkosea mimi nlijua wenye tabia ya umbea na vihedemswede ni mashoga a.k.a pilau au basmati au mchicha wa mwiba
Kumbe huyu ni mdada!!!!!!daaah
Wahenga walishasame usinywe uji wa mgonjwa
 
Nakumbuka pale Migo kuna kachama ka akina dada na kinamama hako kachama hua kanakodiwa rasmi kwa ajili ya kusuta mtu

Nilishuhudia bana tena na mavuvuzela
Cku hio watu walipoteana humo
 
Point!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…