Unajua kinachofanya wamwaganeNa kwanini mmwage hapa jukwaani...kwa nini msitukanane huko mlikokutana...!!!mkishaumbuana nini tena kinafata mnajidhalilisha tu kwa kweli
sent from motorola bapa and nokia jeneza
My kaka unaongea na mimi au unaongea na simu?
Umeona eeh? Hata assist tunaombana hapahapa kwani shngapi. Af toka useme utanitoa dinner sijui lunch ndo ukapotea mazimaaTeh dawa ni kutongozana huku huku jukwaani ili wambea na vizabizabina wakose umbea au sio...
Te te te tengoja nimuwahi mwenye nafasi yake
Umeona eeh? Eti mvujishaji na mvujishwaji wote mataahira lohUtakuwa umelenga jamii kubwa sana ya wana jf. Mataahira, uuuh!!
Hii kitu inasababishwa na tatizo la wanaume kupenda umbea kuliko kazi
Umeona kumuongezea mdogo wangu mke wa pili haitoshi leo unataka kututenganisha kiundugu....
Inaonekana hakusoma mwandiko wako siku mnatongozana pm.
Yeah hata assist hapa hapa...Umeona eeh? Hata assist tunaombana hapahapa kwani shngapi. Af toka useme utanitoa dinner sijui lunch ndo ukapotea mazimaa
Hahahahaha we jamaa wewe
Kaenda mbali eeeh? Mataahira! Dah!!Umeona eeh? Eti mvujishaji na mvujishwaji wote mataahira loh
Mambo?Signs of immaturity and malice aforethought.
Hehehe mkono mtupu haulambwi bibieMke mwenza hebu tulia kwanza.