nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,029
- 2,902
Usipanic nitajie tajiri mchagga au muarusha aliyeko Jijini Mwanza anayetikisa kwa utajiri maana umesema mwenyewe kwamba Mwanza imejaa matajiri toka Arusha na Moshi wakati siyo kweli. Vinginevyo we ni mpumbavu fulani tu ambaye hata Mwanza huijui. Koma kuleta hoja isiyo na mashiko.Pellleka ujinga kule! Kwendraaaaa!
Mkabila mkubwa. Kwahiyo hutaki wengine watajirikie huko Mwanza. Unataka niwataje ili ukawaue ulivyo na roho mbaya. Na wewe unatikisa huko Mwanza kwa lipi? Kwendraaaaaa! Peleka balaa!
Biashara kubwa za Mwanza ni madini, uvuvi na usafirishaji majini na nchi kavu. Sasa nitajie tajiri mwenye meno kama kashata na mke mwenye miguu kama spoku katika sekta hizo katika Jiji la Mwanza.