MNYAMAKAZI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,118
- 2,199
Jaribu kuchunguza, wanawake ni wepesi sana kuweka wazi status za mahusiano yao kwenye mitandao ya kijamii (hasa facebook) pamoja na kutupia picha za wenzi wao lakini si wanaume. 90% ya sisi midume (ukitazama profile zetu) tupo single sasa la kujiuliza hawa wadada wapo kwa relationship na ng'ombe or ndio ule ule uwiano wa mwanaume mmoja kwa wanawake 15?