Kwanini hii picha inatukera baadhi yetu?

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
GO9G9056.JPG
 
Inaonesha undumilakuwili [ KIKULACHO] wa Zitto!!! He wants to eat his cake and still have it!! Haiwezekani.
 
Inawakera baadhi kwa sababu hapo Rais wa South sudan alitaiwa kuwa karibu zaidi na Rais mwenzake,lakini akamwacha kando na kuonekana yuko interested zaidi na kijana wa upinzani, ukiitazama kwa makini picha hii unaweza kugundua mambo mengi sana,jaribu mwenyewe kuichunguza upya..
 
Unaposema "inatukera baadhi yetu" unaonesha kua wewe umo miongoni mwa walokereka. Tueleze basi nini hasa kinakukera, wewe kama wewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom