Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 2,002
- 5,536
Enzi nasoma shule ya msingi ukichonga tu penseli pande zote mbili utasikia "aahhhh...hayo matusi"...au wengine wanasema "wewe hiyo tabia mbaya"....Na wengine walienda mbali zaidi na kusema "Unawatukana baba na mama yako".
Sasa matusi hayo veepeee....Mimi hadi leo sielewi hata kidogo.