Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,397 Reaction score 17,782 Sep 21, 2015 #21 Chopa ni Aina ya helicopter. Zipo zenye majina tofauti. Ni sawa na hàpa bongo kila kituo cha mafuta kinaitwa shell
Chopa ni Aina ya helicopter. Zipo zenye majina tofauti. Ni sawa na hàpa bongo kila kituo cha mafuta kinaitwa shell
Mzimu wa Kolelo JF-Expert Member Joined Apr 16, 2013 Posts 2,966 Reaction score 8,976 Sep 21, 2015 #22 Ziroseventytwo said: Chopa ni Aina ya helicopter. Zipo zenye majina tofauti. Ni sawa na hàpa bongo kila kituo cha mafuta kinaitwa shell Click to expand... Ha ha ha ha unanikumbusha zamani suzuki honda na honda honda pikipiki yoyote ni honda hta mashindano ya pikipikin tunaita mashindano ya mahonda BLUEBAND nayo mh !!
Ziroseventytwo said: Chopa ni Aina ya helicopter. Zipo zenye majina tofauti. Ni sawa na hàpa bongo kila kituo cha mafuta kinaitwa shell Click to expand... Ha ha ha ha unanikumbusha zamani suzuki honda na honda honda pikipiki yoyote ni honda hta mashindano ya pikipikin tunaita mashindano ya mahonda BLUEBAND nayo mh !!