Kwanini haya yanatokea kwenye mapenzi?

Kwanini haya yanatokea kwenye mapenzi?

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2,307
Reaction score
3,444
Ananipenda sana, ila sina hisia nae hata kidogo...

Hana kasoro yoyote, ana sifa zote kuitwa mke, lakini mimi simpendi...

Hajawai nikosea, kila siku mimi ndio namkosea lakini haniachi..

Ananipenda sana, muda mwingi anazungumza kuhusu ndoa, anawapenda na wazazi wangu pia

Sijui kwanini mimi simpendi, yani namtamani tu pale napokuwa N.y,ege..

Kwa mambo makubwa alionifanyia naogopa kumwambia simpendi.. Nahis anaweza ata kuniua

DAH,
Screenshot_20190623-112618.jpeg
Screenshot_20190623-112840.jpeg
Screenshot_20190623-112255.jpeg
 
Ananipenda sana, ila sina hisia nae hata kidogo...

Hana kasoro yoyote, ana sifa zote kuitwa mke, lakini mimi simpendi...

Hajawai nikosea, kila siku mimi ndio namkosea lakini haniachi..

Ananipenda sana, muda mwingi anazungumza kuhusu ndoa, anawapenda na wazazi wangu pia

Sijui kwanini mimi simpendi, yani namtamani tu pale napokuwa N.y,ege..

Kwa mambo makubwa alionifanyia naogopa kumwambia simpendi.. Nahis anaweza ata kuniua

DAH,
View attachment 1135849View attachment 1135850View attachment 1135851
Mara nyingi nikwasababu ya umuri na uchanga wa mahusiano .....bado hawajui 'what they need in life'
 
Mkuu hapa unawaongelea wakina nani?
Jinsia zote hususani wanaumme kwasababu wanawake walio wengi wanaongoza na hisia sio logic anaacha mtu anae weza kumuhudumia kila kitu anaondoka na yule aliemuona kwenye ndoto yake ya ucku Mungu hakuweza kuwapa wanawake 'emotion intellegence' katika hilo walio wengi hufuata hisia zao mara nyingi paka afikishe 35 to 45 ndo anaanza kutumia logic and reason kwenye mapezi
 
Naomba Mungu nisije kuwa na moyo kama wa huyo Dada. Hadi nimemuonea huruma.

Mimi haijalishi nakupenda sana, au laah.(kwanza siku hizi huwa sipendi zaidi ya kupretend).

Nikikutumia msg nasubiri ujibu ndiyo nitume nyingine, usipojibu ndiyo kwisha habari mpaka siku utakapoamua kujibu.
 
Huyo Dada anaonekana anampenda hasa
Ila sijui tulikosea wapi wanawake,mara nyingi huwa tunapenda tusikopendwa alafu hata ukiambiwa ondoka uwezi unakuwa Kama umelogwa

Mungu tunusuru
Yani adi nashangaa, yupo tayar kufanya chochote ili mradi tu mapenzi yetu yaendelee... Kila nikileta kisingizio cha kuachana..anatatua na wala hajali
 
Yani adi nashangaa, yupo tayar kufanya chochote ili mradi tu mapenzi yetu yaendelee... Kila nikileta kisingizio cha kuachana..anatatua na wala hajali
Kama humpendi angalau basi usimuumize,tafuta peaceful way ya kukueleza

Otherwise jifunze kumpenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom