Kwanini hawapendi??

Kwanini hawapendi??

Hahahaha uzee mwisho wapi sijui lol...wanawake hawataki uzeee ukitaka tajirika sema unauza cream za anti wrinkle hahaha utapata wateja wengi lol

Mkwe nikisema namsubiri mchumba afike 24 nimuoe hatafika milele, miaka yote ana 19
 
Ukielewa saikolojia ya wanawake, hupati tabu.
 
Na mabinti wa kizungu nao wana misemo yao...ikiuliza how old are you wanajibu ' does it really matter ?'....si wote lakini....
 
Back
Top Bottom