Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Uliniambia June unatimiza 18 au???
nilikwambia 38 bhana umesahau
Uliniambia June unatimiza 18 au???
Mmmhh naomba copy ya cheti cha kuzaliwa
Umeenda ku edit au sio??
eeeh nimepunguza mbili ilikuwa 40 u know
Mimi nimepunguza 7 ili walau nistaafu nikiwa na 67...
hahahaha utakamatwa kama siti mtemvu
Mm sitagombea u-handsome bomba mbona!
hapo sawa........ ila badae mvi zitakusuta
Mbona Lowassa ana mvi lakini ndo kwaanza anatafuta ajira???
tofauti na zako zitakuja na makunyanzi
Shemeji mimi sijawahi kuficha miaka yangu hata siku moja....ila siwezi kusema hadharani hapa maana kuna wengine wasio wastaarabu wakishajua umri wako ndo inakuwa fimbo ya kukuchapia....chochote utakachosema kinahusishwa na umri wako....mimi binafsi sijawahi kujifanya mdogo kuliko umri wangu hata siku moja
Nakuamini shem wangu