dah, kuna demu fulani yeye hakuonjwa basi baada ya ndoa alijuta sana kwani jamaa yake alikuwa na kibamia na game haijui! demu aliamua bora awe anachapika tu nje!
hahaha... mpendwa, nipo tu, sometimes ukiona mambo yanazidi unakuwa unachungulia tu na ukichanganya hizi kwikwi tulizonazo JF ndio kama hivo tena............. pearl mzima kabisa........hahah, sijamfungia bana, mtu mzima unaweza kumfungia?............ hiyo april yenyewe nashangaa inakawia kweli haifiki............... na mambo yenyewe haya ya kuonja sijui yatatutoa vipi???...............hahaha...........
kacheki nimekupiga dongo kwenye thread moja................
jaman jaman kuonja kuna umaana wake kwani kwa kufanya hivyo unajua mapungufu na ustrong wake ktk mapenzi si mnajua tena nowadyz wakaka weng wanamatatizo ya ngv za kiume na pale kansn unapoapa je utakuwa naye ktk hari zote kuna mambo mengine huwezi kuvumilia
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa Afanya jambo litakalomwangamiza nafis yake atapata jeraha na kuvunjiwa heshima Wala fedheha yake haitafutika Mithali 6:32-33