Kwanini Hawaoani Hadi WAMEONJA?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,780
Vijana wa kileo, wa siku hizi,
wake kwa waume, kwanini hawaoani hadi wameonjana?
Wengine ndio wananogewa hadi wanabeba mimba kabisa?
 
lzm uonje kwanza ujue kitu mnato au vipi, maana these days watoto wa kike wanaanza kutumika mapema mno tena na mibaba ya hatari, so wengi mpaka afike 20 utakuta kishateremsha injini hata mara mbili
 
Ni makundi tu na utandawazi ndo vimewafanya waone kuwa huwezi ishi bila zinaa!
 
Malezi..jamii yetu imeaminishwa kwamba mtu huwezi kujitunza mpaka ndoa..
Wanakuja na slogans kama ukishindwa tumia kinga..
Kwanini ushindwe..
"mwanaume kamili ni yule anayeweza kuzuia hisia zake zisiwe matendo."..mbona tumesahau msemo huu wa wahenga!??
 
I think ppl are losing their dignities...following so called European life style which I dont believe suits us or still following Chagulaga tradition where i beliave women have been abused badly...

being an optimistic person I believe that there are those who still wait till they get married... I am totally against premarital sex
 
Kuna jamaa alikuwa very handsome, ana tender care ya hali ya juu, mvumilivu, mtu wa dini, si mlevi, anamsaidia mama kila aina ya kazi na aliweza kufanya kila jambo ambalo kila mwanamke anatamani mwanamume wake amfanyie.
Basi jamaa alikuwa amewekeana kiapo na msichana wake kuwa hawatakutanisha viungo vyao vya harusi hadi hapo watakapofunga ndoa.
Siku ya siku ikafika, jamaa mbele ya kasisi, vigeregere, shangwe na nderemo tele, watu wako busy na kujiremba na kujipodoa, wengine mbiombio wakiandaa mpunga, alimradi kila mtu yuko busy kuipendezesha harusi.
Harusi ikafungwa salama salimini... Usiku wa majamboz ukawadia.....
Bibi arusi alikuwa anaisubiri siku hiyo kwa hamu kubwa, kuingia ulingoni janaa anakidude kama kizibo cha peni.
Bibi harusi akazimia.
 
1. Ndio hapo utakutana na mweye gomvi! Shauri yako wewe.

2. Siku hizi pia wapo hata wanaojifanyia operation ili awe kwenye jinsia anayotaka, utajuaje bila kufika kule?

3. Binti mwenye miaka 20 tu, kashafanya mapenzi kuliko mama yake mzazi! Eti mimi nisubiri wakati kitu kilishatumika mara kibao! Siwezi kabisa. Japo waweza kutumia limao!

4. Yes, huenda ukanunua sabuni ukidhania simu. Lazima nicheki live!

5. Kuna kutamani na kupenda, nitajuaje ipi ni ipi? Lazima nijiridhishe.
 
Ni sawa tu onjaneni kwani kuna tatizo kama utakuta kibamia uwe na Exprience nacho hata mkijawekana ndani kusiwepo mambo yale ya ningelijua huyu kuku nisingemla ..
Sio yale mambo ya ooh mme wangu ana kibamia thatha mie nitafanyaje utajua mwenyewe cha kufanya
Ooh mme wangu bado hajapelekwa jandoni kuchunwa ngozi ... mpeleke mwenyewe ...
 
mh!mpendwa hapa naona GENDER HAIJAZINGATIWA
 
now days msichana mpaka anafika first year chuo anakuwa ashatumiwa sana,may be up to 20+sex partners,na uwenda akawa ameshatoa mimba zaidi ya 3.so lazima utest si unajua ndoa za kikiristo,ukioa tasa utajiju..so lazima utest.
pia mabinti ni malaya sana asa awa wa vyuo...so watu wanaogopa kuoa wenye mabwawa
 
Ni sawa tu onjaneni kwani kuna tatizo kama utakuta kibamia uwe na Exprience nacho hata mkijawekana ndani kusiwepo mambo yale ya ningelijua huyu kuku nisingemla ..
Sio yale mambo ya ooh mme wangu ana kibamia thatha mie nitafanyaje utajua mwenyewe cha kufanya
Ooh mme wangu bado hajapelekwa jandoni kuchunwa ngozi ... mpeleke mwenyewe ...

Wee FirstLady1 acha hizo. Kibamia nini bwana, kifaa ni matumizi sio ukubwa. Unaweza kuta mtwangio lakini hautumiki ipasavyo, bado utalalamika. Onja onja kwa man sio tatizo, tatizo kwa wenzetu, ile kitu ina deform halafu inapoteza ladha. Mwishowe waonjaji wa mwisho mwisho watakuwa wakionja wanatema sio kumeza tena. Inakuwa mtu uko ndani lakini wahisi uko nje.
 
I think ppl are losing their dignities...following so called European life style which I dont believe suits us or still following Chagulaga tradition where i beliave women have been abused badly...

being an optimistic person I believe that there are those who still wait till they get married... I am totally against premarital sex
Those we wait.............wewe umeweza/uliweza?
 
Back
Top Bottom