Kwani uliwaona Maaskofu wote wengine?Askofu Ngalalekumtwa
Askofu Shoo
Baganza
Niwemugizi
AU HAWAKUPATA MWALIKO?
AU wale walikuwa viongozi wa dini na hawa ni viongozi wa kiroho?
Wale ni viongozi wa kiroho bila kumsahau sheikh ponda wasema ukweli ukitoa bakwata wazee wa mapambioAskofu Ngalalekumtwa
Askofu Frederick Shoo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).
Baganza
Niwemugizi
AU HAWAKUPATA MWALIKO?
AU wale walikuwa viongozi wa dini na hawa ni viongozi wa kiroho?
Hapana, ila mimi nipo specific na hao niliowataja.Kwani uliwaona Maaskofu wote wengine?
Umewapigia simu ukawauliza kwanini hawakuwepo?. Muwe waangalifu sana katika kila mnachoamua kukifanya.Askofu Frederick Shoo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).
Askofu Fredrick Shoo: Wale wote wanaojaribu kupotosha ukweli wa waraka wa Maaskofu kwa kuupaka matope ni wajinga - JamiiForums
Askofu Bagonza:
Askofu Bagonza: Kusifiwa si kigezo kuwa unafanya vizuri. Ni upatikanaji wa fadhila zisizolipiwa bila kudaiwa - JamiiForums
Askofu Niwemugizi
Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake - JamiiForums
Askofu Ngalalekumtwa
Askofu Ngalalekumtwa: Katiba isiyotokana na Rasimu ya Warioba ikataliwe - JamiiForums
AU HAWAKUPATA MWALIKO?
AU wale walikuwa viongozi wa dini na hawa ni viongozi wa kiroho? Nauliza tu.
Hao Wangekuwepo wangechafua Hali ya hewa....wakati wa kutoa mawazo, ushauri pasingetosha
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ni wasomi na ni watu wasiopindisha ukweli ...DIKTETA angenuna. Aliwaalika maINTAPRINTINUA tu....Askofu Frederick Shoo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).
Askofu Fredrick Shoo: Wale wote wanaojaribu kupotosha ukweli wa waraka wa Maaskofu kwa kuupaka matope ni wajinga - JamiiForums
Askofu Bagonza:
Askofu Bagonza: Kusifiwa si kigezo kuwa unafanya vizuri. Ni upatikanaji wa fadhila zisizolipiwa bila kudaiwa - JamiiForums
Askofu Niwemugizi
Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake - JamiiForums
Askofu Ngalalekumtwa
Askofu Ngalalekumtwa: Katiba isiyotokana na Rasimu ya Warioba ikataliwe - JamiiForums
AU HAWAKUPATA MWALIKO?
AU wale walikuwa viongozi wa dini na hawa ni viongozi wa kiroho? Nauliza tu.
Sasa nimelewa.hawa jamaa.ni wafanyaniashara ukifika bei unampataNadhan hata kwenye kikao hiki hawakualikwa ko sio ajabu View attachment 1006410
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi hasa wale wakweli wasio wanafiki hawakwenda huko licha ya kupewa mwaliko
Sasa nimelewa.hawa jamaa.ni wafanyaniashara ukifika bei unampata
Hao Wangekuwepo wangechafua Hali ya hewa....wakati wa kutoa mawazo, ushauri pasingetosha
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wana kadi za chadema!
Kwani uliwaona Maaskofu wote wengine?