Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,549
- 62,003
Nimeshangaa sana ameshindwa hata kwenda kwenye kilele cha maonyesho ya nane nane kitaifa kule Simiyu, badala yake amemtuma Ben.
Je ni nini kinamfanya ajifungie hapo Dar? Nje ya nchi hataki kwenda yaani hata mikoani nayo kuja ni tatizo?
Je ni nini kinamfanya ajifungie hapo Dar? Nje ya nchi hataki kwenda yaani hata mikoani nayo kuja ni tatizo?