Kwanini Hapi anakaimu nafasi ya Makonda?

Maswali mengine yanatia kichefuchefu jinsi yalivyo ya kijinga!!!
 
na kwa waliopo senior ninyule Dada wa Ilala... ila kwakuwa hana MIHEMKO kama wenzake hawezi kukaamishwa... alitakiwa naye awe MTU wa kujitoa ufahamu
 
makondA yupo likzo £@USA
 
Makonda kaenda kula bata huko ughaibuni, inawezekana ile safari ya kwenda kupandikiza mtoto kwa mujibu wa Mange Kimambi imetimia, sie wana shilawadu tutaanza kuhesabu miezi tu, tuoneshwe new born kwenye instagram.
 
Mkuu umenena sawasawa kabisa sasa sijui tatizo la wakuu wa wilaya kusemwa wanakaimu nafasi ya Mkuu wa mkoa linaanzia wapi?ama ni kwa vyombo vya habari au kwa wenye nafasi hizo kutoelewa utaratibu.Hata hivyo Mkuu wa Wilaya anaweza kukaimu Ukuu wa Mkoa iwapo ataapishwa na Rais kukaimu nafasi hiyo.Serikali ya awamu ya nne ilitoa mwongozo mzuri wa kukaimu nafasi ya mkuu wa mkoa/wilaya lakini haukufuatwa sana kwa nafasi ya mkuu wa mkoa mara nyingi wakuu wa mikoa wanapokuwa likizo au safarini humkaimisha mmoja wa wakuu wa wilaya katika mkoa wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…