Swali hapa ni sababu ya Mkuu wa mkoa kukaimiwa, hatakama angekuwa amekaimiwa na mtu yeyote, nini hasa sababu ya yeye kukaimiwa? je anaumwa?, ama yuko likizo? just curious.Kukaimu ni jambo la kawaida sana na sioni kwa nini liwe ishu. Mtu anaweza kufa au kuwa kikizo au mgonjwa na mtu mwingine, kwa ruhusa ya mwenye nafasi husika au mamlaka ya uteuzi, anaweza kukaimu nafasi hiyo!
Kwa kawaida RC akiwa safari au likizo kuna DC mmoja wapo huwa ana kaimu nafasi hiyo. Lakini ni yule Senior zaidi ya wengine na sidhani kama Hapi ni senior kwa wengine waliopo. Mambo yanakwenda shagalabagala sasa hivi kama club ya pombe ya Wanzuki au dengeruaKukaimu ni jambo la kawaida sana na sioni kwa nini liwe ishu. Mtu anaweza kufa au kuwa kikizo au mgonjwa na mtu mwingine, kwa ruhusa ya mwenye nafasi husika au mamlaka ya uteuzi, anaweza kukaimu nafasi hiyo!
Kwa kawaida RC akiwa safari au likizo kuna DC mmoja wapo huwa ana kaimu nafasi hiyo. Lakini ni yule Senior zaidi ya wengine na sidhani kama Hapi ni senior kwa wengine waliopo. Mambo yanakwenda shagalabagala sasa hivi kama club ya pombe ya Wanzuki au dengerua
Hee! Hii ni movie au[emoji87] [emoji87]Picha
Ina maana hujui kama Rais anaishi Dar? Yani Dar ikaimiwe na mkuu wa mkoa wa pwani, hayo ni mambo ya huko Geita.Wadau samahanini.
Kwani mkuu wa mkoa si hua anakaimiwa na mkuu wa mkoa wa karibu yake au nimechanganya hii mambo??
Please msaada hapo.
Mbona wakati wa awamu ya nne Mhe Melsadick akiwa mkuu wa mkoa wa Lindi aliwahi kukaimu mkuu wa mkoa wa Dar?Ina maana hujui kama Rais anaishi Dar? Yani Dar ikaimiwe na mkuu wa mkoa wa pwani, hayo ni mambo ya huko Geita.
M.ambe kim.ambeYupo likizo
Nje ya nchi
America
Kweli Dr.Slaa aliondoka na akili zote Chadema.Heshima kwenu wana Jf, nikiwa naangalia taarifa ya habari ITV leo saa mbili jioni, nimemwona mkuu wa wilaya ya kinondoni Mh Ally Hapi akiwapongeza Zantel kwa kulipa deni la Ml300, hapo hapo mtangazaji akimwita "kaimu mkuu wa mkoa wa dar es salaam." Mwenye kujua atujuze sababu ya Mh Paul Makonda kukaimiwa, au yupo likizo? Natanguliza shukrani.