Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,152
- 44,106
Na ndio maana waka muua badala ya kufanya njia ya kumkamata.Mwenye majibu ya kina na ya kuridhisha ni marehemu pekee
Hilo ndio swali kuu kwa sasa. Kwanini Hamza alikuwa akiwapiga risasi polisi tu na sio raia wengine?
Mashuhuda wanasema Hamza alikuwa akisema anawataka Polisi awamalize na hakuwa na dhamira mbaya na raia wengine waliokuwepo mazingira yake. Kama kuna raia yoyote alipigwa na risasi huenda ilikuwa ni bahati mbaya au alishukiwa kuwa sehemu ya polisi.
Je, Hamza alikuwa na msongo wa mawazo baada ya kufilisika? Sasa kwanini awatandike risasi polisi tu?
Je, Hamza alikuwa gaidi? Sasa kwanini awatandike risasi polisi tu?
Hamza pamoja na kuwa alikuwa kada na mfadhili wa CCM kwa miaka kadhaa mpaka mauti yalipomkuta, bado alionesha hasira na chuki dhidi ya jeshi polisi wakati wa hili tukio.
Kwanini Hamza alikuwa akiwalenga polisi tu?
Mkuu hapa umeongea kiutu uzima sana. Polisi na CCM hawatengamani. Hata mimi nimeshangaa kuwaua wanaCCM wenzake. Tusubiri ripoti ya uchunguzi wa polisi; lakini kuna tetesi kuwa polisi walimpora madini yake (kama kawaida yao) ndipo akapata hasira ya kumlipua kila polisi atakayekutana naye. Polsii wa nchi hii ni majitu wa ajabu sana.Hamza pamoja na kuwa alikuwa kada na mfadhili wa CCM kwa miaka kadhaa mpaka mauti yalipomkuta, bado alionesha hasira na chuki dhidi ya jeshi polisi wakati wa hili tukio.
Mimi ninachowaomba Wazazi msituzalie watoto wa aina hii ya Simon sero. Wasiojua hata kutofautisha picha zilizopigwa na YASHICA na zile zinazotokana na CCTV cameras.Hilo ndio swali kuu kwa sasa. Kwanini Hamza alikuwa akiwapiga risasi polisi tu na sio raia wengine?
Mashuhuda wanasema Hamza alikuwa akisema anawataka Polisi awamalize na hakuwa na dhamira mbaya na raia wengine waliokuwepo mazingira yake. Kama kuna raia yoyote alipigwa na risasi huenda ilikuwa ni bahati mbaya au alishukiwa kuwa sehemu ya polisi.
Je, Hamza alikuwa na msongo wa mawazo baada ya kufilisika? Sasa kwanini awatandike risasi polisi tu?
Je, Hamza alikuwa gaidi? Sasa kwanini awatandike risasi polisi tu?
Hamza pamoja na kuwa alikuwa kada na mfadhili wa CCM kwa miaka kadhaa mpaka mauti yalipomkuta, bado alionesha hasira na chuki dhidi ya jeshi polisi wakati wa hili tukio.
Kwanini Hamza alikuwa akiwalenga polisi tu?
Acha kutudanganya na hii clip ya wapemba. Hamza ni mbara. Polisi wajibu swali, kwann wamelengwa wao tu?
Hilo ndio swali kuu kwa sasa. Kwanini Hamza alikuwa akiwapiga risasi polisi tu na sio raia wengine?
Mashuhuda wanasema Hamza alikuwa akisema anawataka Polisi awamalize na hakuwa na dhamira mbaya na raia wengine waliokuwepo mazingira yake. Kama kuna raia yoyote alipigwa na risasi huenda ilikuwa ni bahati mbaya au alishukiwa kuwa sehemu ya polisi.
Je, Hamza alikuwa na msongo wa mawazo baada ya kufilisika? Sasa kwanini awatandike risasi polisi tu?
Je, Hamza alikuwa gaidi? Sasa kwanini awatandike risasi polisi tu?
Hamza pamoja na kuwa alikuwa kada na mfadhili wa CCM kwa miaka kadhaa mpaka mauti yalipomkuta, bado alionesha hasira na chuki dhidi ya jeshi polisi wakati wa hili tukio.
Kwanini Hamza alikuwa akiwalenga polisi tu?
Udini unakusumbua weweHamza ni muendelezo wa gaidi la kibiti na uamsho
Sasa wapi nimesema dini. Mimi siamini dini yoyote jwasababu ni viwanda vya mashetaniUdini unakusumbua wewe
Mkuu hiyo ripoti yenyewe itakuwa haina ukweli wowote watajipendelea wenyewe, Kesi ya ngedere unaipeleka kwa nyaniMkuu hapa umeongea kiutu uzima sana. Polisi na CCM hawatengamani. Hata mimi nimeshangaa kuwaua wanaCCM wenzake. Tusubiri ripoti ya uchunguzi wa polisi; lakini kuna tetesi kuwa polisi walimpora madini yake (kama kawaida yao) ndipo akapata hasira ya kumlipua kila polisi atakayekutana naye. Polsii wa nchi hii ni majitu wa ajabu sana.