Kwanini hamuangalii Bongo Movie?!

doh bonge la thread/povu
asante
sa unaishaurije tasnia ya movie tanzania?
 
hilo nalo neno
 
ahahahahaha nimecheka mpaka mume kaamka!
 
Story zao idea ni ile ile,yaani mtu unatazama muvi mpya hujawahi kabisa kuiona lakini unajua mwisho wake itakavyokua.
Muvi za mapenzi idea zao ni kwamba mwanzon wapenz walipendana,akaingia kidudu mtu kuvuruga(hapa sasa unakuta rafiki alifanya njama akamuiba bwana wa mwenzie,au ndugu wa mume hawamtaki mke)basi story itaenda na manyanyaso na mwisho watagundua ukweli na kuishi kwa furaha[emoji3][emoji3]

Kingine unakuta muvi ni ya dk 180,lakini dk 30 muigizaji atazitumia kuchagua vitu supermarket au kuendesha gari barabaran,dk 45 waigizaji watakua club watacheza dk 45 ztaisha...sasa unakuta mtu unaangalia mpaka muvi yenyewe inakukinai sasa...
Wangejitahidi kuongeza ubunifu zaidi ili kulirudisha soko la bongo movie kwa watz
 
doh masikini!
 
Hahahahaha
 
bongomuvi noma sana, scene inaonyesha ni usiku mtu na mpenziwe wapo chumbani kitandani......halafu kwa nje unasikia sauti ya mtu akitangaza kuuza mboga mboga... "nauza mchicha".

hivi ni kweli kwa mazingira ya mijini, kuna mtu anatembeza mboga mboga usiku?.

pumbavu kabisa hawa...acha niendelee kuwa mtumwa wa kutazama movie za hollywood.
 
Hahahahahah nimecheka jamani Mpaka mume kaamka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…